Sisi watanzani maswala ya kisayansi tunategemea msaadaNajiuliza kweli hamuwezi kubuni kutoka maabara zenu kwa kutumia miti shamba yetu kutengeneza dawa kama Butalex? hii dawa sasa hivi haipatikani madukani, kuna formulations zenye mapungufu makubwa. Mnakwana wapi na mmejaza maprofesa na MaDr kibao wenye mabooks na madictionary kibao? Litafakari hili please and this goes to dawa zingine za mifugo......
Huko zilipokuwa zinatoka zilitengenezwa na agronomist au pharmacist?Najiuliza kweli hamuwezi kubuni kutoka maabara zenu kwa kutumia miti shamba yetu kutengeneza dawa kama Butalex? hii dawa sasa hivi haipatikani madukani, kuna formulations zenye mapungufu makubwa. Mnakwana wapi na mmejaza maprofesa na MaDr kibao wenye mabooks na madictionary kibao? Litafakari hili please and this goes to dawa zingine za mifugo......
SUA is a research institution of higher learning and therefore whatever the case to your question, they are destined to be capable of attempting this!Huko zilipokuwa zinatoka zilitengenezwa na agronomist au pharmacist?
Kebehi iko wapi?Wana account zao kwenye mitandao mingine. Baada ya kutupa habari hapa, pia habari hii ama ushauri huu utume huko lakini ukiwa umepunguza lugha za kebehi na dharau.
Kwa jicho la tatu hii hapaKebehi iko wapi?
Mnakwana wapi na mmejaza maprofesa na MaDr kibao wenye mabooks na madictionary kibao?
Idara ya mazao wanatakiwa kuwa na kitengo cha utafiti na ugunduzi wa tiba mfano wa suala aliloleta muanzisha uzi huu.Huko zilipokuwa zinatoka zilitengenezwa na agronomist au pharmacist?
Crop science?Idara ya mazao wanatakiwa kuwa na kitengo cha utafiti na ugunduzi wa tiba mfano wa suala aliloleta muanzisha uzi huu.
Nilikuwa najaribu ku signify kuwa these are learned brothers with all materials at their disposal. sikuwa na nia ya kejeli....Kwa jicho la tatu hii hapa
Binafsi sijui chochote kuhusu haya mambo lakini nilipojaribu ku-Google, nimekuta "Butalex is for the treatment of theileriosis in cattle caused by ticks infections." Huo ugonjwa unaitwaje kwa Kiswahili?Najiuliza kweli hamuwezi kubuni kutoka maabara zenu kwa kutumia miti shamba yetu kutengeneza dawa kama Butalex?
Umeongea karibia yote kwa usahihi mkubwa sana mkuu, SUA wanafanya tafiti nyingi sana pale ila za watu wengine au tasisi zingine Kwa sababu wao wako willing kuwekeza pesaBinafsi sijui chochote kuhusu haya mambo lakini nilipojaribu ku-Google, nimekuta "Butalex is for the treatment of theileriosis in cattle caused by ticks infections." Huo ugonjwa unaitwaje kwa Kiswahili?
All in all, issue Bongo sio uwezo wa taasisi kufanya research na kutoa product bali serikali kutotoa kipaumbele kwenye hizi researches! Kuna mjadala niliwahi kuusikia ukiwahusu hao hao SUA na tafiti zao! Hawa walikuwa wanalalamika kwamba serikali inatoa kipaumbele kidogo sana kwenye research. Lakini hata inapotokea wenyewe SUA wanafanya research na ku-develop mbegu au hata hizo dawa, serikali huwa inashindwa kutimiza wajibu wake wa ku-push up hayo matokeo wakati SUA kama SUA wao sio commercial institution na kwahiyo wao wataishia tu ku-develop product X lakini hapo unakuta serikali inaruhusu similar product kutoka nje na matokeo yake matunda ya utafiti wao yanafia hapo!
Matokeo yake, unakuta wanaishia kwenye research za panya kutegua mabomu kwa sababu kuna wanaofadhili hizo researches na sio serikali
Ahsante kwa maelezo yako, including huo ugonjwa manake nilikuwa naona manyota nyota tu!Umeongea karibia yote kwa usahihi mkubwa sana mkuu, SUA wanafanya tafiti nyingi sana pale ila za watu wengine au tasisi zingine Kwa sababu wao wako willing kuwekeza pesa
Kuna miradi hadi ya bill gates pale SUA, tafiti zinahitaji kuwekeza pesa nyingi sana na ubaya serikali haitoi fungu la kutosha
na wale jamaa wanajiendesha Kwa kutegemea miradi yao ya pale chuoni hivo kipato ni kidogo sana
La kuongezea tu, huo ugonjwa Kwa kiswahili unaitwa "NDIGANA KALI?
Tuko pamoja mkuuAhsante kwa maelezo yako, including huo ugonjwa manake nilikuwa naona manyota nyota tu!
Hizo ziko sokoni kweli? Zinaitwaje?Wanatengeneza, mbona wana dawa 3 inatibu magonjwa ya kuku na vitu vingine. Wamefanya mengi labda ni kwa uchache.
Nitakupatia jina lake.Hizo ziko sokoni kweli? Zinaitwaje?
Hizo ziko sokoni kweli? Zinaitwaje?