SUA KwELI MAJANGA

Usijali utamaliza tu, mimi nimemaliza mwaka huu hapo! Chamoto utakiona usipotulia vizuri. Unamjua G.C.D Sembuche wewe?
 
Tatizo sua wanachukua failure

acha kuropoka. kama wewe sio failure nenda kasome pale tuone kama utamaliza semister moja hujakamatwa (disco)! chezea SUA wewe! unadhani sua ni kama hicho chuo cha kata (udom) ulichosoma? usipime kina cha maji kwa miguu miwili wewe kilaza!
 
Usijali utamaliza tu, mimi nimemaliza mwaka huu hapo! Chamoto utakiona usipotulia vizuri. Unamjua G.C.D Sembuche wewe?

Sembuche ni genius--jamaa anajua hesabu ni balaa. nasikia siku hizi kanunua gari? mwanzoni alikuwa anatumia bodaboda. na kuna lecturer mmoja anaitwa Dr Mlengela, yeye usafiri ulikuwa ni BAISKELI! sijajua kama naye alibahatika kununua gari au bodaboda!
 
acha kuropoka. Kama wewe sio failure nenda kasome pale tuone kama utamaliza semister moja hujakamatwa (disco)! Chezea sua wewe! Unadhani sua ni kama hicho chuo cha kata (udom) ulichosoma? Usipime kina cha maji kwa miguu miwili wewe kilaza!

umemaliza
 

sembuche,mara yangu ya mwisho nimemwona 18th of dec,akiwa anaendesha wanteni.
 
Sua wanasomea udongo then wanaenda kufanya kazi bankteller
 
Tar 30 test,31 presentation,tar 1 kuna prac,dah najuta kuijua SUA.

Hakuna likizo kwa kipindi hiki huko au itakua ishaisha???

Unajuta kwa kua umeenda hapo accidentally au???
 
Soma lugano sikukuu zipo tu utazikuta hadi utazichoka ...kusoma ni kujitoa na kusahau mambo mengine kwa muda. Tafuta kilichokupeleka sua utafurahi siku moja ukisoma kwa bidii.

Aisee Sua sio kwa failures labda mnaongelea chuo kingine. Na graduates wengi was Sua huwa wanajiajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…