NAAMINI
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 672
- 235
Soma lugano sikukuu zipo tu utazikuta hadi utazichoka ...kusoma ni kujitoa na kusahau mambo mengine kwa muda. Tafuta kilichokupeleka sua utafurahi siku moja ukisoma kwa bidii.
Aisee Sua sio kwa failures labda mnaongelea chuo kingine. Na graduates wengi was Sua huwa wanajiajiri.
sasa wewe sio actual girl ni potential...jina unalotumia ni ambigious...then mbona watu wanakula bata bana muda ndo huu huwezi kuzikuta hizi bata hapo badae...