SUA KwELI MAJANGA

sasa wewe sio actual girl ni potential...jina unalotumia ni ambigious...then mbona watu wanakula bata bana muda ndo huu huwezi kuzikuta hizi bata hapo badae...
 
mbona wezio hatulalamiki na tunaendeshwa kama magari ooo utaishia kulalamika ....Nadhani unajua pakoje probation nje nje zingua tuu.
 
wanajiajiri?,kumbe SUA huwa wanagawa mitaji ya kujiajiri
 
Ubaya wa kusoma vyuo ambavyo havina future, kumeza sana majina ya wadudu na kuchambua udongo weeee, mwisho wa siku unakuja kuomba kazi ya u-banki teller au unakuwa producer wa music kama Hammy-B ambaye amemaliza SUA.
 
we kwel mse**ge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…