Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naona baada ya njaa ya muda mrefu na baada ya malalamiko ya muda mrefu sasa kilio kimesikiwa na mtonyo ushatupiwa ndani ya account za CRDB......mtumie kwa umakini na wengine baada ya wiki tatu ela ya field itatoka raha iliyoje jamani......
Kulikuwa na haja na huu uzi?
we ndo wale wakishika 200k tu ni kiwewe, dukanu unanunua wembe wa mia 250 lkn unatoa mapesa yote kwa wallet na kuanza kuramba mate kuhesabia kana kwamba unatoa Mil 10. Yaani kama masai na chupi mpya hadi mgolole ataupandisha juu chupi mpya ionekane!

mxiiiiiiiuuuu
nimekuzarau kama nilivyozarau hoja yako.......m......*.......*.....*.....*.....u...........kama havikuhusu poteza...mxiiiiiiuuuu