SUA mtonyo, wametupia CRDB

SUA mtonyo, wametupia CRDB

NAAMINI

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
672
Reaction score
235
naona baada ya njaa ya muda mrefu na baada ya malalamiko ya muda mrefu sasa kilio kimesikiwa na mtonyo ushatupiwa ndani ya account za CRDB......mtumie kwa umakini na wengine baada ya wiki tatu ela ya field itatoka raha iliyoje jamani......
 
Kulikuwa na haja na huu uzi?
we ndo wale wakishika 200k tu ni kiwewe, dukanu unanunua wembe wa mia 250 lkn unatoa mapesa yote kwa wallet na kuanza kuramba mate kuhesabia kana kwamba unatoa Mil 10. Yaani kama masai na chupi mpya hadi mgolole ataupandisha juu chupi mpya ionekane!
 
Mkuu salama?
 
Inakuhusuu..??au ndo umbea..
 
Kulikuwa na haja na huu uzi?
we ndo wale wakishika 200k tu ni kiwewe, dukanu unanunua wembe wa mia 250 lkn unatoa mapesa yote kwa wallet na kuanza kuramba mate kuhesabia kana kwamba unatoa Mil 10. Yaani kama masai na chupi mpya hadi mgolole ataupandisha juu chupi mpya ionekane!

nimekuzarau kama nilivyozarau hoja yako.......m......*.......*.....*.....*.....u...........kama havikuhusu poteza...mxiiiiiiuuuu
 
Ahahaaa kumbuka tu kuwa hiyo siyo sadaka ni mkopo na wakati wa kulipa huo mkopo uanzishe pia thread na kuhamasisha wenzio.
 
Back
Top Bottom