SUA ni kama juventus.

unachekesha sana we dogo! nisingekua na busy ngekupa somo la bule! njoo sua ucheki mziki wake.unaongea usiyo yajua
 
Kumbe wenye mawazo mgando wapo wengi na wanajifanya wasomi,elimu yetu bado magumashi tu,haijalishi ni chuo gani..
 
Mimi ni graduate wa SUA nimesoma comment ila bado haziniingii akilini kwamba mnaongelea nini? mnaanza kwa kufananisha chuo na klabu ya mpira, then malumbano ya ubishani wa vyuo ambayo ni business as usual katika jukwaa la elimu inachip in, hata kama tumepata elimu zetu za juu katika vyuo tofauti tofauti kwanini tusikae pamoja na kutafakari kwa upendo tutalifanyia nini taifa letu tupige hatua katika maendeleo, ubishani wenu hauna tija katika mtandao huu na taifa kwa ujumla, end product ya ubishani huu ni kutukanana na wengine kupigwa BAN mi nawaangalia tu, kheri ya mwaka mpya jamani tubadili fikra zetu jamani its not too late for some of us kwa kweli
 
ninavoisikia sua msuli wake balaa. haijulikan labda because wnaoenda pale wanatoka bright kuliko vyuo vingine nina kaka yang kasoma pale analalamika kila siku mpaka anamaliza. nakiamini sua sana haijalishi jina msuli ndo maana borther anaaminiwa sana kazin ukilinganisha na udsm mzumbe na ifm. Ukitaka kujua nenda mwenyewe SUAAAAAAAA
 

Acha ushamba wewe..........unacheza na Juve eeeh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…