ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 148
teh teh teh teh!!!na wala siwezi kusomea hapa bongo kwa taarifa yako .nenda taratibu utafika tu dogo.maisha ni mipango
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
teh teh teh teh!!!na wala siwezi kusomea hapa bongo kwa taarifa yako .nenda taratibu utafika tu dogo.maisha ni mipango
well said mkuu...bado hajielewi huyu kijana!!Acha u mbumbumbu we chiz, unaijua JUVENTUS vzr ww? unajua ilianza lin na imechukua vikombe vingap? ISINGEKUWA MAARUFU UNGEIJUA UKIWA TZ YENYEWE ITALY? Hujaenda shule kabisa au elimu yako ni ipi? umekurupuka kuleta uzi baada ya kusoma mawazo ya WAJINGA wengine kama ww, eti UDOM KAMA......., UDSM KAMA......., Jitegemee kimawazo, kufuata mikumbo utaliwa 0713... cku nyingine nyau we.
SUA NI CHUO CHA NGAP TANZANIA KWENYE RANKS, UNAJUA? UNAJUA WATAFITI WALIO BOBEA TZ WAKO WAP, SOMA HAPA Top Colleges & Universities in Tanzania | 2012 University Web Rankings UFUNGUKE AKILI
naona umekupuka toka usingizi...rudi kalale mkuu!jamani punguzeni jazba, mimi kama nilivyomwelewa,na nadhani ndivyo hivyo, watanzania wengi hawako familiar na chuo cha SUA. Wengi utawasikia wakitaja UDOM,UDSM na vingine na siio kwamba SUA ni vilaza au vitu kama hivyo..
unapima kina cha maji ya tope kwa mguu. sogeza kichwa uonje jooto ya jiwe. SUA HAKUNA MATANGAZO YA BIASHARA , SUA NI VITENDO UTAIPATA MWENYEWE. POLE SANA KWA KUFIKIRI SUA INASHABIKIA MATANGAZO YA MABANGO YA MISS UNIVERSITY. YOU ARE INBSANE!!!!!!!PhD ZIPO ZA KUMWAGA MKUU!! SIZANI KAMA UTAKUA NA VIGEZO VYA KUJA KUZISOMA!!!
hahahahaahahahah Sie sind ein Schwachsinn, die auf der Straße verloren, aber nicht jetzt where.and weiß nicht, was Ihr in dieser Welt zu tun
sua nije kusoma nini pale labda elimu zake nshamaliza zote usinirudishe nyuma ONGELEA PHD NA DOCTRINE
nadhan hii post ilikua hainihusu!!! ila si mbaya nimefurah kuona na wewe ni mdau SUA!!!unapima kina cha maji ya tope kwa mguu. sogeza kichwa uonje jooto ya jiwe. SUA HAKUNA MATANGAZO YA BIASHARA , SUA NI VITENDO UTAIPATA MWENYEWE. POLE SANA KWA KUFIKIRI SUA INASHABIKIA MATANGAZO YA MABANGO YA MISS UNIVERSITY. YOU ARE INBSANE!!!!!!!
Mkuu huwezi kuuliza nyama saluni, Ninashangaa sana kama wasomi wetu watarajiwa mnashindwa ku analyze mambo na kubaki kushabikia tu, hapo umetaja vyuo ambavyo vinatoa wahitimu wa fani mbalimbali kuna course zinazotolewa muhimbili tu, halikadhalika Coet, Ardhi, Sua, nk zina kozi zake pia,ninashangaaa na ninatashangaa kama kuna ligi ya chuo gani ni nini au kimefanya nini, pia unanifanya niamini bado kuna watu wankwenda vyuo vikuu kwa kufuata mkumbo na si kujua anataka asomee nini ila anataka kusoma chuo gani na ndio maana unakutana na msomi wa chuo kikuu anauliza kuwa kwa kozi yake anaweza akafanya kazi gani na wapi, inasikitisha sana, hivi tukija kuwa na vyuo vingi kama ma inchi ya wenzetu itakuwaje maana hivyo vichache ni kelele hivyoafu we dogo unapenda kulazimisha ligi na mimi sana,kama ckosei uliwahi kunisababishia ban kipindi flani hvi.we endelea kusoma hayo mamizizi hapo sua kama mganga wa kienyeji afu ukimaliza ndio unitafute..kubali au kataa ni juu yako mwenyewe..wanafunz wengi wanaomaliza form 6 kwa comb za pcb na pcm,wengi huwa wanandoto za kutinga muhimbili au coet,lakini ndoto zao zinapofifia ndo wanaanza kuangalia options nyingne ikiwemo sua..kwan we mwenyewe si una 3.17 uongo?