SUA ni kama juventus.

SUA ni kama juventus.

Acha u mbumbumbu we chiz, unaijua JUVENTUS vzr ww? unajua ilianza lin na imechukua vikombe vingap? ISINGEKUWA MAARUFU UNGEIJUA UKIWA TZ YENYEWE ITALY? Hujaenda shule kabisa au elimu yako ni ipi? umekurupuka kuleta uzi baada ya kusoma mawazo ya WAJINGA wengine kama ww, eti UDOM KAMA......., UDSM KAMA......., Jitegemee kimawazo, kufuata mikumbo utaliwa 0713... cku nyingine nyau we.
SUA NI CHUO CHA NGAP TANZANIA KWENYE RANKS, UNAJUA? UNAJUA WATAFITI WALIO BOBEA TZ WAKO WAP, SOMA HAPA Top Colleges & Universities in Tanzania | 2012 University Web Rankings UFUNGUKE AKILI
well said mkuu...bado hajielewi huyu kijana!!
 
jamani punguzeni jazba, mimi kama nilivyomwelewa,na nadhani ndivyo hivyo, watanzania wengi hawako familiar na chuo cha SUA. Wengi utawasikia wakitaja UDOM,UDSM na vingine na siio kwamba SUA ni vilaza au vitu kama hivyo..
naona umekupuka toka usingizi...rudi kalale mkuu!
 
PhD ZIPO ZA KUMWAGA MKUU!! SIZANI KAMA UTAKUA NA VIGEZO VYA KUJA KUZISOMA!!!
unapima kina cha maji ya tope kwa mguu. sogeza kichwa uonje jooto ya jiwe. SUA HAKUNA MATANGAZO YA BIASHARA , SUA NI VITENDO UTAIPATA MWENYEWE. POLE SANA KWA KUFIKIRI SUA INASHABIKIA MATANGAZO YA MABANGO YA MISS UNIVERSITY. YOU ARE INBSANE!!!!!!!
 
akili za kushikiwa utaziona tu, unajipendekeza kwa wadachi ili iweje wakati wewe ni mmatumbi 100%? kweli kutawaliwa vibaya.

hahahahaahahahah Sie sind ein Schwachsinn, die auf der Straße verloren, aber nicht jetzt where.and weiß nicht, was Ihr in dieser Welt zu tun
 
Sasa ndo naanza kuconfirm kwamba we Perry huna akili kabisa ulichokiandika hakina mantiki kabisa unafuata mkumbo wa thread zilizotangulia,nakumbuka uliwahi kuleta story ya kaka yako anayekuweka mjini hapa jamvini nadhani haya uliyoyaandika hapa ungemuuliza labda angekufungua hiyo akili yako kwasababu kijana haufanani na mwanafunzi wa chuo kikuu labda CHOO kikuu,umeboa dada yangu!
 
unapima kina cha maji ya tope kwa mguu. sogeza kichwa uonje jooto ya jiwe. SUA HAKUNA MATANGAZO YA BIASHARA , SUA NI VITENDO UTAIPATA MWENYEWE. POLE SANA KWA KUFIKIRI SUA INASHABIKIA MATANGAZO YA MABANGO YA MISS UNIVERSITY. YOU ARE INBSANE!!!!!!!
nadhan hii post ilikua hainihusu!!! ila si mbaya nimefurah kuona na wewe ni mdau SUA!!!
 
ni vita ya maneno,mzichape tu live ili kumaliza ubishi.hebu jaribuni kuongelea mambo ya msingi badala ya kugombania kuhusu vyuo mnavyosoma/mlivyosoma.
 
afu we dogo unapenda kulazimisha ligi na mimi sana,kama ckosei uliwahi kunisababishia ban kipindi flani hvi.we endelea kusoma hayo mamizizi hapo sua kama mganga wa kienyeji afu ukimaliza ndio unitafute..kubali au kataa ni juu yako mwenyewe..wanafunz wengi wanaomaliza form 6 kwa comb za pcb na pcm,wengi huwa wanandoto za kutinga muhimbili au coet,lakini ndoto zao zinapofifia ndo wanaanza kuangalia options nyingne ikiwemo sua..kwan we mwenyewe si una 3.17 uongo?
Mkuu huwezi kuuliza nyama saluni, Ninashangaa sana kama wasomi wetu watarajiwa mnashindwa ku analyze mambo na kubaki kushabikia tu, hapo umetaja vyuo ambavyo vinatoa wahitimu wa fani mbalimbali kuna course zinazotolewa muhimbili tu, halikadhalika Coet, Ardhi, Sua, nk zina kozi zake pia,ninashangaaa na ninatashangaa kama kuna ligi ya chuo gani ni nini au kimefanya nini, pia unanifanya niamini bado kuna watu wankwenda vyuo vikuu kwa kufuata mkumbo na si kujua anataka asomee nini ila anataka kusoma chuo gani na ndio maana unakutana na msomi wa chuo kikuu anauliza kuwa kwa kozi yake anaweza akafanya kazi gani na wapi, inasikitisha sana, hivi tukija kuwa na vyuo vingi kama ma inchi ya wenzetu itakuwaje maana hivyo vichache ni kelele hivyo
 
hapo umekosea kijana jaribu kuwa mwangalifu unopoandika ujumbe dont mix soccer with education
 
Naona utamu wa ngoma mpaka uicheze mwenyewe. Tatizo la umaarufu wa chuo kama SUA ni sera na mifumo mibovu ya serikari yetu. Ni cha kilimo ambao ndo uti wa mgongo wa uchumi wa Tz so tungetemea ndo kitumike zaidi ya wanaosoma degree za history, kiswahili, geography, etc ambazo hazina value yoyote kwa maendeleo ya Taifa changa kama TZ. Tuna viwanda vingapi au mashirika mangapi tuhitaji wahasibu na maengenia kiasi hicho? >ndo maana wanakimbilia huko lakini hawavumbui kitu chochote maanawakariri jinsi ya kuoperate na sio kuwa na wazo jipya.
La zaidi ni kwamba wanafunzi wengi wa kitanzania wanasoma Arts sasa atapata wapi umaarufu wa SUA na wakati 90% wanasoma HGL, HKL, HGK including walimu wao. So kama umuhimu wa kilimo ungesimama TZ na kama wanafunzi wengi wangekuwa wanasoma Sayansi basi Umaarufu wa SUA ungekuwa juu. ILA ELIMU YAKE IKO JUU HATA KAMA KUNA MTU ANAHISI SI MAARUFU KWA MAONI YAKE. hawachakachui ndo maana hata kama wanafunzi wameenda kwa ufaulu mdogo wanatoka wakiwa performers wazuri makazini. SUA JUU
 
sijaona chuo chenye kufanya tafiti na zenye matunda kwa taifa kama sua aliyeandika uzi kwanza anasomea nini kama ni uhasibu atabaki kuwa teller tu ....afu mijitu mingine haijui hata historia ya nchi zilizoendelea duniani walifocus kwenye nini...british iliendelea kiviwanda baada ya mapinduzi ya kilimo na sio uchumi,biashara,n.k...hivyo kama great thinker inabidi ufikirie ..mimi najua nyie mtakuja juta kwenye ajira coz sua wanafundisha mtu kuwa mjasiliamali na sio kuajiliwa ila mwanasua ndo anaajili hao mahasibu,...sasa hapo nani mjanja mwana sua au nyie mnaosoma course za kusubiri uitwe
 
Sipo kwenye mada zenu za vyuo. But mleta uzi usifananishe SUPER JUVENTUS na vilabu vingine. Tambua hiyo ndio timu pekee ulaya yenye mataji mengi. Imechukua SERIE A mara28 Italian cups ndio usiseme na UEFA 2 times na isingekua kupokonywa ingekua mara 31. Na tambua ulaya nzima inaongoza Real Madrid ikifuatiwa na juventus kwa mafanikio. So hao shit EPL umeanza kuwaona 1998 tu. usikurupuke kabisa. FORZA JUVENTUS PER SEMPRE.
 
nimecheka sana ...SUA haina mafanikio? watu tuna spin dunia nzima kama cricket ball kwa ajili ya taaluma iliyotukuka tuliyopata SUA....leo tunakaa kwenye ma forum ya kimataifa na kumwaga vingreza hatareee kwa ajili ya SUA..Please tuombe msamaha tafadhali...SUA ni zaidi ya Barca
 
kama wewe ni zao la SUA umekiabisha sana, nafanyakazi na wahitimu wa sua, sio mambumbumbu kama ulivyoonesha

kwanza hujui kutoa au hata kufanya tafiti, Juve ya italia? ni klabu yenye mafanikio, na wkt mwingine ukichukua

study sample zako, kuwa mwamngalifu.

unaweza ukapoteza muda na pesa ukisafir kumpa mkono Obama. Ths is wt you re doing, yupo tu, kila kitu kipo palepale, SUA ni SUA, udsm ni udsm, mzumbe ni mzumbe tu, fanya mambo mengine, someni vijana
 
Back
Top Bottom