MashaJF
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 246
- 119
Nashindwa kuelewa, nina dogo amepata mkopo wa elimu 100% lakini anani ambia wenzake walio tangulia chuoni wanamwambioa anahitajika kwenda na 276,000/= kwa ajili ya malipo ya direct cost!!!!!
Kama hizi taarifa ni sahihi nashindwa kuelewa ni kwa nini haya malipo uongozi wa SUA hauja yaweka bayana kwenye joining instructions yao!!!Na inasemekana kwamba ni lazima ulipe haya malipo ndipo uweze kufanyiwa registration na kupokea pesa ya mkopo.
Sasa kama kwenye joining instruction hamja andika kuhusu hili jambo mzazi ataelewaje kwamba anatakiwa ampatie mwanae hiyo hela?
Na kama mwanafunzi atafika chuoni hana hiyo hela na ana mkopo 100% kwa nini msifanye utaratibu wa kuwa-register na then hiyo hela mkakata kwenye huo mkopo?
Wahusika au mwenye taarifa ya uhakika kuhusu hili naomba msaada wa kulifahamu vizuri jamb0o hili.
Attachment: joining instructions