Una uhakika kwamba ame-disco kv hajalipa ada? Una uhakika kwamba hana Incomplete ambayo hakuwahi kui-defend?Mnachagua tuu vyuo vya kijinga km hivo mnahadaika na majina kwan lazima muende vyuo ambavyo havina fair km hivo mwisho wa siku mnapoteza malengo km hivo disco lisilo na sababu
sheria inasemaje mkuu...mana tusijebaki kukilaumu chuo kwa sababu ya uvunjaji tu wa sheria na isitoshe hakuna aliefukuzwa kwa kutokulipa ada si vizuri kuja kdanganya uma....ila wale ambao hawakulipa wamepewa wiki moja ya kuandika barua ya kuomba kusoma tena coarse hiyo itakapotolewa tena......nas
isitiza tufuate sheria ya mahali husika ili mwisho usije laumu
............Na kilimo cha MCHICHA!Vyuo vingine vina sera za ajabu, hasa hivi vyenye taaluma za ufugaji wanyamapori.
kwani mitihani yao haikusahihishwa ndg??mi naamini mitihan yao ilisahihishwa na marks zao zipo department husika..so kwann wasipewe matokeo wale ambao watalipa ada sasa???dit waliambiwa hawatapata matokeo(ambao hawakuwa wamelipa ada) mok walipe ada na si kudisco kisa hujalipa ada.katibu mkuu wa wizara ya elimu ndo alitoa kauli hyo..kinachoendelea sua nadhani ni ulevi wa madaraka na kuendesha taasisi muhim za nchi kama familia zao..
cha msingi unganeni piganieni haki za wenzenu za kusoma....pambaneni hata ikibidi gomeni,justice for ur fellow students
serikali ya wanafunzi kwa upande wake wanaweza kuwanusuru wenzetu..hata d.i.t uongoz wa wanafunzi ndo uli engineer the whole process kuwanusuru wenzao..ila kwa ninavoijua serikali ya wanafunzi sua,nauhakika hawatafanya chchte..nawashauri wa victims wa saga hili waume meno tu waende wizarani wakatafte haki yao iliyopokwa