SUA, ni sawa mtu ku-disco kisa hujalipa ada?

SUA, ni sawa mtu ku-disco kisa hujalipa ada?

Mnachagua tuu vyuo vya kijinga km hivo mnahadaika na majina kwan lazima muende vyuo ambavyo havina fair km hivo mwisho wa siku mnapoteza malengo km hivo disco lisilo na sababu
Una uhakika kwamba ame-disco kv hajalipa ada? Una uhakika kwamba hana Incomplete ambayo hakuwahi kui-defend?
 
SUA inasifika sana kwa kuangamiza ndoto za vijana,kuonea viongozi na wanafunzi kwa ujumla!!!!!
 
sheria inasemaje mkuu...mana tusijebaki kukilaumu chuo kwa sababu ya uvunjaji tu wa sheria na isitoshe hakuna aliefukuzwa kwa kutokulipa ada si vizuri kuja kdanganya uma....ila wale ambao hawakulipa wamepewa wiki moja ya kuandika barua ya kuomba kusoma tena coarse hiyo itakapotolewa tena......nas
isitiza tufuate sheria ya mahali husika ili mwisho usije laumu

ni kwel uamuzi wa mwanzo ilikua disco,bt baada ya serikali ya wanafunzi kuomba litazamwe upya ndio umekuja uamuzi mpya kua warudie semister
 
Nmemaliza SUA cjawahi isikia hii, lakini kunakasheria flani hivi kapo hapo, ambapo mwanafunzi anatakiwa ajisajili/kuripoti kila semester ndani ya wiki 2 baada ya chuo kufunguliwa, usipo jisajili ni disco automatic.

Na unabahati wamekuambia hiyo semester ya kwanza, wengine huwa wanakuja kuambiwa wakati anatafuta gauni la graduation.

Hapo SUA ukiwakosea utakiona cha moto, wakikosea wao we wasamehe.
 
kwani mitihani yao haikusahihishwa ndg??mi naamini mitihan yao ilisahihishwa na marks zao zipo department husika..so kwann wasipewe matokeo wale ambao watalipa ada sasa???DIT waliambiwa hawatapata matokeo(ambao hawakuwa wamelipa ada) mok walipe ada na si kudisco kisa hujalipa ada.Katibu mkuu wa wizara ya elimu ndo alitoa kauli hyo..kinachoendelea sua nadhani ni ulevi wa madaraka na kuendesha taasisi muhim za nchi kama familia zao..
 
kwani mitihani yao haikusahihishwa ndg??mi naamini mitihan yao ilisahihishwa na marks zao zipo department husika..so kwann wasipewe matokeo wale ambao watalipa ada sasa???dit waliambiwa hawatapata matokeo(ambao hawakuwa wamelipa ada) mok walipe ada na si kudisco kisa hujalipa ada.katibu mkuu wa wizara ya elimu ndo alitoa kauli hyo..kinachoendelea sua nadhani ni ulevi wa madaraka na kuendesha taasisi muhim za nchi kama familia zao..

cha msingi unganeni piganieni haki za wenzenu za kusoma....pambaneni hata ikibidi gomeni,justice for ur fellow students
 
cha msingi unganeni piganieni haki za wenzenu za kusoma....pambaneni hata ikibidi gomeni,justice for ur fellow students

serikali ya wanafunzi kwa upande wake wanaweza kuwanusuru wenzetu..hata d.i.t uongoz wa wanafunzi ndo uli engineer the whole process kuwanusuru wenzao..ila kwa ninavoijua serikali ya wanafunzi sua,nauhakika hawatafanya chchte..nawashauri wa victims wa saga hili waume meno tu waende wizarani wakatafte haki yao iliyopokwa
 
serikali ya wanafunzi kwa upande wake wanaweza kuwanusuru wenzetu..hata d.i.t uongoz wa wanafunzi ndo uli engineer the whole process kuwanusuru wenzao..ila kwa ninavoijua serikali ya wanafunzi sua,nauhakika hawatafanya chchte..nawashauri wa victims wa saga hili waume meno tu waende wizarani wakatafte haki yao iliyopokwa

piganieni haki yenu bila uoga....njia ya amani ikishindikana tumieni violent method
 
huyu dvc wenu wa sasa hafai, enzi za kambarage mimi nilikuwa nalipia room tu, tena shilingi 250/= kwa siku kwa semister ilikuwa 32,250/= madeni yangu yote kuanzia hela ya usajiri, maktaba, id's, examination fee, ulinzi.... n.k nimelipa mwaka jana, enzi zangu hela ya loan board niliitumia kuwasaidia wadogo zangu.
 
Back
Top Bottom