SUA: Panya wanaweza kutumika kubaini Corona na kupunguza gharama na maumivu

SUA: Panya wanaweza kutumika kubaini Corona na kupunguza gharama na maumivu

Ko hayo ni matatizo ya SUA? Graduates wa wapi ambao hawana changamoto

Mkuu SUA ni chuo cha kilimo, sasa kilimo na rocket wapi wapi mkuu??
Lengo la SUA kuanzishwa kwake na sasa ni usiku na mchana. Ifike mahali bodi ya mikopo iangalie upya Aina ya kozi za kutolea mikopo ili mikopo ilipike na ajira ziwepo sokoni. Wafanya tafiti za soko la ajira ili wanamaliza wapata ajira na waweze kujitengemea kulingana na walichosomea.
 
ukisema hii kitu maeneo ya SUA unaweza kuuawa;
Ukweli ndio huo. SUA Ina zaidi ya diploma, degree programs 100 . Hakuna hata degree moja iko na direct link na soko la ajira. Wahadhiri ni zaidi ya 2,000 wanalipwa na kutumia raslimali za umma kwa faida ambayo haionekani.
 
Tafiti sio sawa na kumpa mimba mwanamke kiasi kwamba una uhakika ndani ya miezi 9 anajifungua.
Tangu mwaka 1984 hadi leo SUA inafanya tafiti , ni utafiti upi umefanikiwa na kwa kiasi gani kumkomboa mkulima au taifa hii? Mara utafiti wa udongo,panya, hata zao la alizeti wameshindwa kufanya utafiti wa mbegu bora kwa wakulima leo Lita 5 ya mafuta hayo ni Tsh 40,000 na alizeti hakuna.mnatuambia utafiti wa panya na vijana wenu hawana ajira.
 
Impact ya SUA kwenye uchumi wa Taifa letu ni ndogo sana. Wenzetu wanazungumzie masuala ya Rocket science SUA wapo kwenye utafiti wa panya.
Wenzenu kina nani? Usa, china, uk? Wenzenu ni mali, uganda, kenya etc acha ujing wa wenzetu wakati tupo katika planes tofauti
 
Wenzenu kina nani? Usa, china, uk? Wenzenu ni mali, uganda, kenya etc acha ujing wa wenzetu wakati tupo katika planes tofauti
Jifunze Rwanda. Tatizo tafiti zote ni upigaji tu na CAG hakagui tafiti hizo. Sasa ifike mahali CAG atinge kwenye hizo tafiti za panya .
 
Hongera sana Dr Mgode; from a Technician to a Principal Research Officer (PhD). Big up and keep up the good work. Proud of you!
Achana na wale wenye akili na mawazo ya akina Msukuma, nyivu tu zinawasumbua!
 
Back
Top Bottom