Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Ko hayo ni matatizo ya SUA? Graduates wa wapi ambao hawana changamoto.Hata kwenye soko la ajira graduates wa SUA wana changamoto kubwa sana kupata ajira wengine wanachunga mbuzi na elimu wanayo.
Hao panya si bado wanatumika,Nimeonyesha wenzetu wanachotaki kuifanya kulingalisha na tafiti za panya na mende Karne ya 21
Mkuu umesoma JALALANI?Kuna haja ya kufanyika kwa tadhimini ya tafiti na degrees programs zinazotolewa SUA. Zingine zinahitajika kufutwa zimepotea na wakati haswa kwenye mfuko wa ajira .
Tafiti sio sawa na kumpa mimba mwanamke kiasi kwamba una uhakika ndani ya miezi 9 anajifungua.Nao hawa wametuchosha na mapanya wao ,miaka na miaka ni wao na mapanya sijui yameleta tija gani hadi sasa
Ko hayo ni matatizo ya SUA? Graduates wa wapi ambao hawana changamoto
Lengo la SUA kuanzishwa kwake na sasa ni usiku na mchana. Ifike mahali bodi ya mikopo iangalie upya Aina ya kozi za kutolea mikopo ili mikopo ilipike na ajira ziwepo sokoni. Wafanya tafiti za soko la ajira ili wanamaliza wapata ajira na waweze kujitengemea kulingana na walichosomea.Mkuu SUA ni chuo cha kilimo, sasa kilimo na rocket wapi wapi mkuu??
Ukweli ndio huo. SUA Ina zaidi ya diploma, degree programs 100 . Hakuna hata degree moja iko na direct link na soko la ajira. Wahadhiri ni zaidi ya 2,000 wanalipwa na kutumia raslimali za umma kwa faida ambayo haionekani.ukisema hii kitu maeneo ya SUA unaweza kuuawa;
Tangu mwaka 1984 hadi leo SUA inafanya tafiti , ni utafiti upi umefanikiwa na kwa kiasi gani kumkomboa mkulima au taifa hii? Mara utafiti wa udongo,panya, hata zao la alizeti wameshindwa kufanya utafiti wa mbegu bora kwa wakulima leo Lita 5 ya mafuta hayo ni Tsh 40,000 na alizeti hakuna.mnatuambia utafiti wa panya na vijana wenu hawana ajira.Tafiti sio sawa na kumpa mimba mwanamke kiasi kwamba una uhakika ndani ya miezi 9 anajifungua.
Wenzenu kina nani? Usa, china, uk? Wenzenu ni mali, uganda, kenya etc acha ujing wa wenzetu wakati tupo katika planes tofautiImpact ya SUA kwenye uchumi wa Taifa letu ni ndogo sana. Wenzetu wanazungumzie masuala ya Rocket science SUA wapo kwenye utafiti wa panya.
Tatizo unalipwa na umeajiriwa SUA.Wenzenu kina nani? Usa, china, uk? Wenzenu ni mali, uganda, kenya etc acha ujing wa wenzetu wakati tupo katika planes tofauti
Reality hammer imekugonga penyewe now back to your sensesTatizo unalipwa na umeajiriwa SUA.
Jifunze Rwanda. Tatizo tafiti zote ni upigaji tu na CAG hakagui tafiti hizo. Sasa ifike mahali CAG atinge kwenye hizo tafiti za panya .Wenzenu kina nani? Usa, china, uk? Wenzenu ni mali, uganda, kenya etc acha ujing wa wenzetu wakati tupo katika planes tofauti