Best Mzava
Senior Member
- Jul 20, 2012
- 135
- 10
umefanyaje dogo. mimi nataka niende mzumbe ila wamenipanga RUCO. Tafadhali nisaidieNitakuwa mchoyo wafadhila nisipotanguliza shukurani zangu kwa wana jamvi coz mmekuwa wa2 wakwanza kunishauri japo kuna wachache walipondea sana mm kupangwa IFM bt kwa maombi yenu kwangu now nimepangwa chuo nilichokua nakiota na kutamani sana kusoma pande hizo si kingine bali ni SUA,kwahiyo napenda kuwataarifu wana sua kwamba 2takuwa pamoja,SUA hoyeeeeee
umefanyaje dogo. mimi nataka niende mzumbe ila wamenipanga RUCO. Tafadhali nisaidie
Human health and nutrition mkuu.
Pamoja sana mkuu,kilichobaki ni sala na kazi(msuli)