Best Mzava
Senior Member
- Jul 20, 2012
- 135
- 10
Nitakuwa mchoyo wafadhila nisipotanguliza shukurani zangu kwa wana jamvi coz mmekuwa wa2 wakwanza kunishauri japo kuna wachache walipondea sana mm kupangwa IFM bt kwa maombi yenu kwangu now nimepangwa chuo nilichokua nakiota na kutamani sana kusoma pande hizo si kingine bali ni SUA,kwahiyo napenda kuwataarifu wana sua kwamba 2takuwa pamoja,SUA hoyeeeeee