Best Mzava
Senior Member
- Jul 20, 2012
- 135
- 10
Wakuu hii sio shule 2nakomoana sasa,lecture mpaka saa mbili usiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saa 2 usiku? Au wameanzisha evening degree programmes?Wakuu hii sio shule 2nakomoana sasa,lecture mpaka saa mbili usiku
acha dharau na matusi mshenzi wewewapenda degree za chupi utawajua tu
not begine,its begin.....begins with you....Ulitaka lecture ziishe saa4 asubuhi.?hawa ndio watalaam wetu wa kilimo kwanza,halafu ndio wa kwanza kulalamika nchi haina maendeleo,changes begine with you
not begine,its begin.....begins with you....
UDSM ratiba kama hiyo ilianza siku nyingi lkn tulikomaa na hakuna hata aliyeguna!!we saa mbili unaona hatari!!
Wewe utakuwa mwaka wa Kwanza. Hamia Udom ukale bata.
Nipo uraiani, kila siku naiota SUA, nakupenda SUA, ipo siku nitakanyaga SUA BVM! Hata kama lecture ni hadi usiku wa manane bado ninatamani kuwa hapo.....!