Sua sua

Sua sua

Sasa ulijua unakwenda 'kuchukua degree'
 
Sasa hilo ndo la kulalamikia????mnasoma gizani?mxiiiii
 
Ulitaka lecture ziishe saa4 asubuhi.?hawa ndio watalaam wetu wa kilimo kwanza,halafu ndio wa kwanza kulalamika nchi haina maendeleo,changes begine with you
 
Ulitaka lecture ziishe saa4 asubuhi.?hawa ndio watalaam wetu wa kilimo kwanza,halafu ndio wa kwanza kulalamika nchi haina maendeleo,changes begine with you
not begine,its begin.....begins with you....
 
UDSM ratiba kama hiyo ilianza siku nyingi lkn tulikomaa na hakuna hata aliyeguna!!we saa mbili unaona hatari!!
 
Mbona ratba ya udsm ndo iko hvo na watu tumeishaizoea!acha kudeka mkuu,piga shule.
 
Wewe utakuwa mwaka wa Kwanza. Hamia Udom ukale bata.
 
UDSM ratiba kama hiyo ilianza siku nyingi lkn tulikomaa na hakuna hata aliyeguna!!we saa mbili unaona hatari!!

na tena wengine wakimaliza wanakimbilia shato wawah mabibo au watatembea kwa miguu na kesho anapaswa kuingia ya saa 1 asbuhi,,,,
 
napita kusalimia majukwaa yoteeeeeeeee baada ya kutoka kifungoni japokuwa sikiwa na kosa
 
Nipo uraiani, kila siku naiota SUA, nakupenda SUA, ipo siku nitakanyaga SUA BVM! Hata kama lecture ni hadi usiku wa manane bado ninatamani kuwa hapo.....!
 
Nipo uraiani, kila siku naiota SUA, nakupenda SUA, ipo siku nitakanyaga SUA BVM! Hata kama lecture ni hadi usiku wa manane bado ninatamani kuwa hapo.....!

kwani mwaka huu ulikosa?
 
Back
Top Bottom