napita kusalimia majukwaa yoteeeeeeeee baada ya kutoka kifungoni japokuwa sikiwa na kosa
Wakuu hii sio shule 2nakomoana sasa,lecture mpaka saa mbili usiku
napita kusalimia majukwaa yoteeeeeeeee baada ya kutoka kifungoni japokuwa sikiwa na kosa
mkuu unakaribishwa sana...uje kutana na akina mama pelaka....sua,center of excellence!!!Nipo uraiani, kila siku naiota SUA, nakupenda SUA, ipo siku nitakanyaga SUA BVM! Hata kama lecture ni hadi usiku wa manane bado ninatamani kuwa hapo.....!
not begine,its begin.....begins with you....
na tena wengine wakimaliza wanakimbilia shato wawah mabibo au watatembea kwa miguu na kesho anapaswa kuingia ya saa 1 asbuhi,,,,
Wakuu hii sio shule 2nakomoana sasa,lecture mpaka saa mbili usiku