Sua sua

Sua sua

k'maa aixe !! Coz sua si lelemama mi mwenyewe nimesanda
 
yaaaani ww umenifurahisha!!!!!!!!!!! te te te !!!!!!!. Angalia, hapo ni SUA, usipokomaa na SHULE unaenda nyumbani kusalimia wazazi for good
 
Hiyo ndiyo tofauti ya sekondari na university! Komaa mdogo wangu usione watu wanalea vitambi baaa ukazani waliziokota hela barabarani.
 
kwani wewe ulitaka kumaliza saa ngapi? mbona wanakusaidia matumizi? au una miss msuba
 
Nipo uraiani, kila siku naiota SUA, nakupenda SUA, ipo siku nitakanyaga SUA BVM! Hata kama lecture ni hadi usiku wa manane bado ninatamani kuwa hapo.....!
mkuu unakaribishwa sana...uje kutana na akina mama pelaka....sua,center of excellence!!!
 
Kilicho kupeleka sua ni nini?
Jitambue na upambane nihisi ndilo jambo la msingi kwa sasa.
Wakati wa kulalamika umepita , uliopo ni wa kupambana na changamoto zinazo tupata.
 
Komaa mtoo wa kiume au wanakupotezea muda kwenda kwa SEMBUCHE the Hunters.WAZEE WA SUA HESHIMA SAAAAANA
 
Mda wa saa mbili mbona kawaida sana,ww piga shule kila m2 akianzisha thread ya magum ya chuo chake cjui kama jukwaa hili litakuwa na credibility,
 
Achaa usharo baro jitu zima linalia eti kisa lecture saa mbili shiinzi. komaa degree unaisotea kijana
 
Wakuu hii sio shule 2nakomoana sasa,lecture mpaka saa mbili usiku

Hiyo ndo kazi ilokupeleka SUA au ulitaka kwenda kucheza, mdau University studies ni pamoja na uvumulivu usiifananishe SUA na O Level tena ya day mbona hata Sekondari watu wanapiga kitabu hadi usiku, unashangaa nini saa mbili, acha uzembe chezea Degree wewe!
 
Back
Top Bottom