Sua tutakufa na njaa

British economist

Senior Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
104
Reaction score
14
katika hali isiyoeleweka tuna jikuta tunashindia maji tuliyo download , km umeweza kununua mkate aya so ndo maisha hayo
 
udsm walipoanza kuhamasishana kudai haki ya pesa haraka wakawekewa hvyo basi nyie kueni wavumilivu tu mtapewa
 
Kiukweli hapa SUA hali ni ngumu kifedha. Ni kwelh kwamb ku-organise mgomo SUA sio kazi rahisi, lakin si kwamb haiwezekani. Kama hali ikiendlea hiv mgomo utakua inevitable. Watu huwa hawapend migomo but kuna wakat huwa wanalazmika kufanya hivyo. Inafka wakt m2 anakata tamaa na kuamua kufanya chochte kutokana na ugumu wa maisha. Binafsi sishabikii migomo bt kuna wakat ni lazima itokee ili kurudi kwenye equilibrium. Tatizo ni kwamb kwa nin baadhi ya vyuo wapewe boom na wengne wasipewe kama tatizo ni hazina kweli? Ni kwamb hazna haina pesa za wanafunzi, au haina pesa za wanafunz wa SUA? Sitak kuwasemea wengne kwanza....POOR TZ GVT!
 
Hivi hii serikali haisikii kilio hiki? Hivi kusoma imekuwa adhabu kiasi hiki kweli!!

Halafu mwanachuo akihitimu na kuanza kazi serikali na wanasiasa wao wanachonga midomo wakitaka watumishi/wafanyakazi wawe wazalendo....ni haki hiyo kweli?
Mbona wao wanadai posho ya laki 3 kwanza ndipo wahudhurie vikao vyao vya mipasho na matusi tu...
 
Sokoine University of Assignment (SUA).
80% ya wanafunzi wa SUA-SUA ni kutoka familia masikini, 15% ni inservise na 5% ni foreigner (most from Mozambiq). Haya gomeni sasa wakulima nyinyi muone balaa lake.
 
Polen sana ndugu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Sokoine University of Assignment (SUA).
80% ya wanafunzi wa SUA-SUA ni kutoka familia masikini, 15% ni inservise na 5% ni foreigner (most from Mozambiq). Haya gomeni sasa wakulima nyinyi muone balaa lake.

tunashukuru sana....kama ni msomaji mzuri wa historia hata mapinduzi makubwa duniani hayakuletwa na wenye pesa ila yaliletwa na masikini na wakulima wadogowadogo.......
 
Jaman wakubwa huko juu niaje nnatuliza matumbo yenu sisi tunakufa njaa hapa Teofilo kisenge university(TEKU) mbeya
 
Poleni sana, nawaonea huruma dada zangu!



katika hali isiyoeleweka tuna jikuta tunashindia maji tuliyo download , km umeweza kununua mkate aya so ndo maisha hayo

https://www.facebook.com/startvhabari?hc_location=timeline
 

jombiii jina lako kama si geni....mazimbu moja hiyo
 
mmh wanasema tubadilishe vyetu kwa wal wa cantn! Miaka minne na wal they cant be criaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…