SUA wakijizatiti kwenye tafiti na uvumbuzi, kulikoni Law School?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Imesikika repoti ya Dr. Mwakyembe akitaka kuiaminisha Dunia hii ya werevu ati kuwa sheria ni fani adhimu na special sana. Haijulikani ni kwenye lipi msomi huyu akilenga.

Hawa hapa ni SUA wakikodolea ubingwa katika tafiti na uvumbuzi:

Mkakati wa SUA kuwa kitovu cha utafiti, uvumbuzi

Ma lawyer uchwara design ya Dk. Mwakyembe mjimwambafy wapi? Lipi lenye tija tulitegemee kutoka kwenu?

Kwani mitishamba Madagascar nani walifuata? Au ni kuwa tulikwisha sahau?
 
Aliyemloga mtu mweusi alipatia kweli kweli maana alimloga kwenye ubongo. Kama siku zote kilio cha watafiti ni vifaa vya kufanya tafiti bora na leo mmepata hela kwa nini kiwango kikubwa cha fedha za HEET mnaipeleka kwenye majengo?

Nina uhakika hawa watawala wa vyuo wanahisi kuwa na majengo mengi na makubwa "lecture theaters" kutaongeza idadi ya udahili wa wanafunzi. Lakini seriously? Kweli vyuo vikuu kama SUA vinahitaji idadi kubwa ya wanafunzi? Hawa wanaograduate wanafanya nini mtaani kama siyo kuendesha bajaji na bodaboda?

Pesa hizo wangewekeza kwenye vifaa bora vya kufanya tafiti, wanafunzi wangepata maarifa bora ya kuwasaidia kuwa wabunifu zaidi hata wanapograduate. Sasa nyiei endeleeni kujenga majengo tu utafikiri elimu bora ni majengo!
 
Wasomi wetu wakishaingia kwenye siasa ndio habari yao imekwisha, hawa jamaa ni sawa na kusema huwa wanaiweka rehani elimu yao mbele ya siasa, ni wasomi wanaotetea zaidi matumbo yao.
 
Usimdharau PhD ya Mwakyembe hata Lissu anamkubali Mwakyembe kielimu na huwa sometimes anamuita 'Mwalimu wangu' PhD ya Mwakyembe ni genuine japo alipingana nayo kipindi Cha Bunge La katiba.
 
Ni wivu umekukamata.
na ww sifia fani yako.
au ww ni muuza maembe!?
 
Imesikika repoti ya Dr. Mwakyembe akitaka kuiaminisha Dunia hii ya werevu ati kuwa sheria ni fani adhimu na special sana. Haijulikani ni kwenye lipi msomi huyu akilenga.

Hawa hapa ni SUA wakikodolea ubingwa katika tafiti na uvumbuzi:

Mkakati wa SUA kuwa kitovu cha utafiti, uvumbuzi

Ma lawyer uchwara design ya Dk. Mwakyembe mjimwambafy wapi? Lipi lenye tija tulitegemee kutoka kwenu?

Kwani mitishamba Madagascar nani walifuata? Au ni kuwa tulikwisha sahau?
hao sua walishagundua hata dawa ya kuua mbu?
 
Usimdharau PhD ya Mwakyembe hata Lissu anamkubali Mwakyembe kielimu na huwa sometimes anamuita 'Mwalimu wangu' PhD ya Mwakyembe ni genuine japo alipingana nayo kipindi Cha Bunge La katiba.

Sijamdharau mtu ila nina haki ya maoni yangu kwenye anachokisema na hasa kama kina athiri maisha ya wengine.
 
hao sua walishagundua hata dawa ya kuua mbu?

Panya wa SUA wa kutegua mabomu, kunusa makohozi na covid hujawahi kuwasikia? Na huyo Mwakyembe naye je kagundua nini?
 
Wasomi wetu wakishaingia kwenye siasa ndio habari yao imekwisha, hawa jamaa ni sawa na kusema huwa wanaiweka rehani elimu yao mbele ya siasa, ni wasomi wanaotetea zaidi matumbo yao.

Mtu anaposhindwa kusimamia anachokiamini ni heri ya mburura Totoro.
 
Aliyemloga mtu mweusi alipatia kweli kweli maana alimloga kwenye ubongo. Kama siku zote kilio cha watafiti ni vifaa vya kufanya tafiti bora na leo mmepata hela kwa nini kiwango kikubwa cha fedha za HEET mnaipeleka kwenye majengo?

Nina uhakika hawa watawala wa vyuo wanahisi kuwa na majengo mengi na makubwa "lecture theaters" kutaongeza idadi ya udahili wa wanafunzi. Lakini seriously? Kweli vyuo vikuu kama SUA vinahitaji idadi kubwa ya wanafunzi? Hawa wanaograduate wanafanya nini mtaani kama siyo kuendesha bajaji na bodaboda?

Pesa hizo wangewekeza kwenye vifaa bora vya kufanya tafiti, wanafunzi wangepata maarifa bora ya kuwasaidia kuwa wabunifu zaidi hata wanapograduate. Sasa nyiei endeleeni kujenga majengo tu utafikiri elimu bora ni majengo!

Ile kuwa na wazo kichwani kuwa majukumu ya vyuo ni tafiti na uvumbuzi yatia moto kuwa kumbe Kuna siku kwenye reli tutarejea. Sasa Hawa wengine kina Mwakyembe kumbukumbu hizo wanazo?
 
Mbona umechanganya changanya mada?
Kwa uandishi huu; Elimu yetu bado sana!
Kwamba mada zimechanganyika? Kwa kipimio gani? Au kipimio ni wewe ndugu lawyer uchwara? Kwa uchambuzi huu; elimu yetu bado sana!
 
Ile kuwa na wazo kichwani kuwa majukumu ya vyuo ni tafiti na uvumbuzi yatia moto kuwa kumbe Kuna siku kwenye reli tutarejea. Sasa Hawa wengine kina Mwakyembe kumbukumbu hizo wanazo?
Hilo la kujitambua majukumu ni jambo dogo sana kwa vyuo vikuu. Haya mavyuo yetu ni ma white elephants tu, kelele nyingi kudeliver sifuri. Ukitaka kujua kuwa ni wahuni wenye CV za makaratasi, angalia kipaumbele iwapo kifaa cha mahabara kikiharibika na iwapo gari la VC au DVC likiharibika. Pesa ya kukarabati gari la mtawala haijawahi kukosa. Pesa ya kureplace kifaa kidogo tu cha maabara kalenda zitapigwa, vikao vitakaliwa, barua zitaandikwa na mwisho hela haitapatikana. Sinaga hamu na systems za mavyuo yetu.
 
Imesikika repoti ya Dr. Mwakyembe akitaka kuiaminisha Dunia hii ya werevu ati kuwa sheria ni fani adhimu na special sana. Haijulikani ni kwenye lipi msomi huyu akilenga.

Hawa hapa ni SUA wakikodolea ubingwa katika tafiti na uvumbuzi:

Mkakati wa SUA kuwa kitovu cha utafiti, uvumbuzi

Ma lawyer uchwara design ya Dk. Mwakyembe mjimwambafy wapi? Lipi lenye tija tulitegemee kutoka kwenu?

Kwani mitishamba Madagascar nani walifuata? Au ni kuwa tulikwisha sahau?

Usifananishe sheria na vitu vya ajabu.

Unyeti wa sheria unagusa sehemu nyeti respectively. Ukizingua kidogo nchi inauzwa.

Hujasikia sakata la kukamatwa ndege uholanzi? Kama hujaelewa, unastahili kubaki hapo SUA.
 
Hilo la kujitambua majukumu ni jambo dogo sana kwa vyuo vikuu. Haya mavyuo yetu ni ma white elephants tu, kelele nyingi kudeliver sifuri. Ukitaka kujua kuwa ni wahuni wenye CV za makaratasi, angalia kipaumbele iwapo kifaa cha mahabara kikiharibika na iwapo gari la VC au DVC likiharibika. Pesa ya kukarabati gari la mtawala haijawahi kukosa. Pesa ya kureplace kifaa kidogo tu cha maabara kalenda zitapigwa, vikao vitakaliwa, barua zitaandikwa na mwisho hela haitapatikana. Sinaga hamu na systems za mavyuo yetu.

Nakubaliana nawe kuwa yawezekana kama waafrika tuna matatizo yasiyotibika. Hata hivyo wanasema ni heri ya nusu Shari. Kwamba japo Hawa wameonyesha kukumbuka majukumu Yao namba uno? Hao mbona wananafuu? Wengine ni matumbo yao tu. Kumbuka wale wa dawa za Madagascar.

Wakisema heri ya nusu Shari kuliko Shari kamili.
 
Usifananishe sheria na vitu vya ajabu.

Unyeti wa sheria unagusa sehemu nyeti respectively. Ukizingua kidogo nchi inauzwa.

Hujasikia sakata la kukamatwa ndege uholanzi? Kama hujaelewa, unastahili kubaki hapo SUA.

Mawazo duni JF:

1. Ukiandika kuhusu panya road mamburura yatakwita panya road.
2. Ukiandika kuhusu Law School na mafyongo ya huko utaitwa mwanafunzi uliyefeli hapo.
3. Ukiandika kuhusu SUA utaambiwa bakia hapo SUA.
4. Ninamalizia mada ya kuzimu labda nitapata salami za kuwafikishia watu salamu wapendwa wao.

Kazi kweli kweli.
 
Panya wa SUA wa kutegua mabomu, kunusa makohozi na covid hujawahi kuwasikia? Na huyo Mwakyembe naye je kagundua nini?
Una fahamu Apopo ni kampuni au shirika la nchi gani? Lililo kuja tanzania mwaka gani??

Fanya tafiti...
 
wanasheria wapo ila ccm ndio inafanya wanasheria kuonekana vilaza
 
hao sua walishagundua hata dawa ya kuua mbu?
Sua hawana ugunduzi walio ufanya... kama upo basi usemwe... hawana hata shamba la nanasi...

Balaa la njaa hawana suluhisho... wachina wame tengeneza/ubunifu/tafiti kuhusu mpunga na mahindi ya muda mfupi, pia kutumia ardhi kame au jangwa kuzalisha mazao au itumike isiachwe

Sua wapo tu... ile miembe na miti ya matunda pale sua ina zalishwa na vijana wa mitaani, wameenda kujiajiri pale kwa kuwa ndipo watu kama nyie mna amini kuwa hiki ni cha sua kuliko akifanya shughuli zake msamvu na sehemu nyingine ya nchi

Ujuzi unao tumika ni kuotesha mti kisha una ukata na kuchukua kichipukizi na kwenda kupandikiza kwenye mti huo... ndio una kuja kuitwa mti wa muda mfupi
 
Usifananishe sheria na vitu vya ajabu.

Unyeti wa sheria unagusa sehemu nyeti respectively. Ukizingua kidogo nchi inauzwa.

Hujasikia sakata la kukamatwa ndege uholanzi? Kama hujaelewa, unastahili kubaki hapo SUA.
Hachana nae mjinga huyo...

Hajui nchi ina ongozwa kwa misingi ya sheria nk... hauto sikia ina ongozwa kwa misingi ya miti ya matunda au panya wa mabomu...

Kila kitu utasikia kwa mujibu wa sheria fulani...

Sua kama ilivyo taasisi zingine za serikali na binafsi zime anzishwa kwa sheria zilizo pitishwa na bunge, na wana weza futa chuo chenyewe au kubadilisha matumizi kwa sheria zilizopo

Ndio ufahamu unyeti wa sheria... sheria hiyo hiyo ina tumika vibaya ili watu wajipatie mahela...
 
Ile kuwa na wazo kichwani kuwa majukumu ya vyuo ni tafiti na uvumbuzi yatia moto kuwa kumbe Kuna siku kwenye reli tutarejea. Sasa Hawa wengine kina Mwakyembe kumbukumbu hizo wanazo?
Wamevumbua nini?
 
Back
Top Bottom