SUA wakijizatiti kwenye tafiti na uvumbuzi, kulikoni Law School?

Imesikika repoti ya Dr. Mwakyembe akitaka kuiaminisha Dunia hii ya werevu ati kuwa sheria ni fani adhimu na special sana. Haijulikani ni kwenye lipi msomi huyu akilenga.

Hawa hapa ni SUA wakikodolea ubingwa katika tafiti na uvumbuzi:

Mkakati wa SUA kuwa kitovu cha utafiti, uvumbuzi

Ma lawyer uchwara design ya Dk. Mwakyembe mjimwambafy wapi? Lipi lenye tija tulitegemee kutoka kwenu?

Kwani mitishamba Madagascar nani walifuata? Au ni kuwa tulikwisha sahau?
Politics as usual. Nchii hii imejaa kujifariji huku ikitumbukia shimoni
 
Hachana nae mjinga huyo...

Hajui nchi ina ongozwa kwa misingi ya sheria nk... hauto sikia ina ongozwa kwa misingi ya miti ya matunda au panya wa mabomu...

Kila kitu utasikia kwa mujibu wa sheria fulani...

Sua kama ilivyo taasisi zingine za serikali na binafsi zime anzishwa kwa sheria zilizo pitishwa na bunge, na wana weza futa chuo chenyewe au kubadilisha matumizi kwa sheria zilizopo

Ndio ufahamu unyeti wa sheria... sheria hiyo hiyo ina tumika vibaya ili watu wajipatie mahela...
Daaah, kuna ushindani huku; madaktari na nyinyi njoeni muwaambie kuwa bila sisi (madaktari), ninyi nyote mngekufa, maana kusingekuwa na mtu wa kuwatibu; na maengineer na nyinyi njoeni na kuwaambia kuwa bila sisi kusingekuwa na viwanda ambavyo vinatengeneza bidhaa mnazotegemea kuendesha maisha yenu; na walimu na nyinyi njoeni muwaambie bila sisi nyie wote msingefikia hapo mlipo, maana sisi ndio tuliwafundisha shuleni. Na watu wa fani zingine wote njoeni na kusema umuhimu wenu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Palikuwa na mashindano ya umuhimu wa viungo vya mwili kwamba kipi muhimu. Moto na ubongo vikijimwambafy. Mbona hadi viungo vya fursa za kujisaidia vilipoamua kutia mgomo baridi ndipo adabu ilirejea?
 
Hachana nae mjinga huyo...

Hajui nchi ina ongozwa kwa misingi ya sheria nk... hauto sikia ina ongozwa kwa misingi ya miti ya matunda au panya wa mabomu...

Kila kitu utasikia kwa mujibu wa sheria fulani...

Sua kama ilivyo taasisi zingine za serikali na binafsi zime anzishwa kwa sheria zilizo pitishwa na bunge, na wana weza futa chuo chenyewe au kubadilisha matumizi kwa sheria zilizopo

Ndio ufahamu unyeti wa sheria... sheria hiyo hiyo ina tumika vibaya ili watu wajipatie mahela...

Mwerevu ndiyo huyu mwenye misamiati ya isiyoeleweka - "hachana?"

Kila fani Ina umuhimu wake. Ni ujinga na upumbavu uliopitiliza kwa awaye kwa ubinafsi wake kudhani na unilaterally kuwa fani yake ndiyo muhimu zaidi kuliko zingine.

Waseme je mabingwa wa rocket science?
 
Back
Top Bottom