akul SPAMMER Joined Sep 12, 2024 Posts 1 Reaction score 3 Sep 19, 2025 #1 Hivi ndugu zangu suala la ajira kwa upande wa Diploma ya food science and technology limefikia wap maana ni mda umepita tunaomba serikali iliangalie
Hivi ndugu zangu suala la ajira kwa upande wa Diploma ya food science and technology limefikia wap maana ni mda umepita tunaomba serikali iliangalie
Superfly JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 1,015 Reaction score 2,154 Sep 20, 2025 #2 Serikali Iliahidi kutoa ajira?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 21, 2025 #3 Ngoja waje kukupa miongozo... Cc: Mahondaw