Ila na Africa watu wanapenda kelele sana sijui kwanini na serikali wala haijali
Kuna siku nilimuuliza mkuu wa kituo nikamuambia unalalaje na kelele hizi za mziki karibu yako mpaka saa 7 za usiku na mamlaka unayo? Akabaki kucheka tu
Ukienda sokoni tangu asubuhi mpaka jioni kelele za speaker za wauzaji
Mitaani unakutana na wauza sumu natamani niwalishe 😄
Usiku bundi nao wanaanza na miziki yao
Halafu utafikiri hakuna wahusika na serikali pia
Huwezi kupata msaada