Ila haya mambo yanaumaaLastly kutokujichulia Sheria mkonon
Mkuu swala sio kuua au kuacha……… naona watu wengiii wamelishikilia bango sana hili swala la huyo bintii wanasahau pia kukemea swala la huyo bintii kutembea na mme wa mtu….HII KITU SHOULD GO BOTH WAYS kukemea kitendo alichofanyiwa bint na kukemea tabia za mabint kutembea na waume za watuKwa hiyo, huyo Binti ndiye anayemgharamia huyo Mume wa mtu! Wewe kama mkeo sio muaminifu achana naye. Kwani ukiua mwanaume mmoja, atapata mwanaume mwingine, je, na huyo utaua pia!? Mwishoni utaua wangapi!?
Sasa mfno huyo rais akisema jamaa wasikamatwe, hiyo itakuwa imekaajeHaikubaliki na wala hatuwezi kukaa kimya mpaka leo bila Polisi kuueleza umma hao vijana wavuta bangi wameshakamatwa au bado?
Ushahidi upo wazi na sura zao zinaonekana, maana yake wote wanajurikana, mfumo wa dola Tanzania unaanzia kwa wajumbe wa nyumba 10 wanawatambuwa watu wao.
Kuchakata taarifa za kukamata wahuni kama hawa ni kazi ya masaa tu tena chini ya masaa 24.
Nawauliza Polisi kwa nini wanaofanya makosa kama yule wa kuchoma moto picha ya Rais wanakamatwa haraka na wanahukumiwa haraka?
Tunaomba Rais aingilie kati hili tena Rais ni wa jinsia ya kike alipe masaa 24 jeshi la Polisi kuhakikisha umma wa Watanzania unapewa taarifa za kukamatwa kwao na kufikishwa mahakamani waende jela, hawastahili kuishi uraiani hao kabisa.
Nimemaliza.
Pia soma
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu
- Peter Madeleka: Ikiwa DPP Mwakitalu hatawapeleka mahakamani ndani ya saa 24 waliombaka binti wa Yombo, mimi nitawapeleka
- TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuwatia nguvuni waliohusika na kitendo cha udhalilishaji na ukatili wa kijinsia kilichotokea Yombo Dovya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km mwehu, WoiiiihBoss aliyeagiza kufanyika Kwa TUKIO unaambiwa ni captain huko jeshini, kwahyo usishangae mkono wa kulindana umeshaingizwa, Tz huna kitu huna haki.
Kwahyo hicho kitabaki kama kilio Cha samaki.
Itoshe kusema Africa tuna safari ndefu sana, hili TUKIO lingetokea nchi za wenzetu lisingechukua hata masaa matatu coz wapo active Hamna mambo ya kuangaliana usoni.
Video za TUKIO zipo(evidence)
Binti aliyefanyiwa TUKIO yupo(evidence)
Still police wanaomba msaada Kwa raia wema[emoji23] inachekesha ila Ina umiza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie mnachekeshaa sana akhii. KhaaahInasemekana polisi wamepewa kichapo kizito baada ya kwenda kuwakamata hao majamaa.inasemekana ni makomandoo yametoka urusi mwaka Jana.Nchi hii ukiwa mwanajeshi chochote unafanya na hakuna hatua utachukuliwa.
Usicheke tupo raia wengine kama mimi siyo binadamu wa kawaida ...wanaweza kunitumia nikamkamate huyo kapten kambini kwake bila shida yoyoteBoss aliyeagiza kufanyika Kwa TUKIO unaambiwa ni captain huko jeshini, kwahyo usishangae mkono wa kulindana umeshaingizwa, Tz huna kitu huna haki.
Kwahyo hicho kitabaki kama kilio Cha samaki.
Itoshe kusema Africa tuna safari ndefu sana, hili TUKIO lingetokea nchi za wenzetu lisingechukua hata masaa matatu coz wapo active Hamna mambo ya kuangaliana usoni.
Video za TUKIO zipo(evidence)
Binti aliyefanyiwa TUKIO yupo(evidence)
Still police wanaomba msaada Kwa raia wema😂 inachekesha ila Ina umiza.
Huo ndiyo ukweli mbwa kazaliwa na mbwatunawasema vijana hawana maadili ukweli ni kwamba watu wazima hasa wenye mamlaka ndio hawana maadili na wapumbavu namba moja hapo ukimani
Fanya hivo kama possible maana inaumizaUsicheke tupo raia wengine kama mimi siyo binadamu wa kawaida ...wanaweza kunitumia nikamkamate huyo kapten kambini kwake bila shida yoyote
Kama kasema rickboy Mwenye uzi wake mimi ni nani hadi nibishane na wataalam wa mambo? Naamini ndugu yangu wa damu Liverpool VPN pamoja na mr pipa Nao watakuwa sambamba na mawazo yakoWakuu msitembee na wake za watu,……!”Mabintii msitembee na waume za watuu……. Kila mtu awe safe kwa upande wake
Bahati mbaya sana Sheria haijui hiyo lakini. Wajinga ndio wanapotezwa hivyo. Na Mume wa huyo Afande uchwara ataoa mwanamke mwingine na hao wajinga kama Wana wake zao nyumbani tayari habari ndio imeisha hiyo.Mkuu swala sio kuua au kuacha……… naona watu wengiii wamelishikilia bango sana hili swala la huyo bintii wanasahau pia kukemea swala la huyo bintii kutembea na mme wa mtu….HII KITU SHOULD GO BOTH WAYS kukemea kitendo alichofanyiwa bint na kukemea tabia za mabint kutembea na waume za watu
Tutatifautianaa kweny kuhindle stress wakuu kila mtu awajibiee kweny nafasii yakee
NB; wale jamaa wamezingua sanaa
Facts mkuu. Kilamtu na ajichunge na ajiwekee mipaka.Mkuu swala sio kuua au kuacha……… naona watu wengiii wamelishikilia bango sana hili swala la huyo bintii wanasahau pia kukemea swala la huyo bintii kutembea na mme wa mtu….HII KITU SHOULD GO BOTH WAYS kukemea kitendo alichofanyiwa bint na kukemea tabia za mabint kutembea na waume za watu
Tutatifautianaa kweny kuhindle stress wakuu kila mtu awajibiee kweny nafasii yakee
NB; wale jamaa wamezingua sanaa
Yes exactly. Watu wanajihangaisha sana na matokeo badala ya kushughulika na chanzo. Kwani huyo afande alikurupuka? Je, Huyo binti alitegemea nini kwa kujifanya malkia kwa mume wa mtu licha ya kuonywa mara nyingi aache hako kamchezo kwamba katamfikisha pabaya? Amelinywa kama alivyoligema.Wakuu msitembee na wake za watu,……!”Mabintii msitembee na waume za watuu……. Kila mtu awe safe kwa upande wake
Hii kesi ni fupa gumu sababu ya wahusika wenyewe. Imagine Captain katoa order waliotekeleza order ni makomandoo. Hivyo hapo ni kesi ya ngedere kwa nyani.Inasemekana polisi wamepewa kichapo kizito baada ya kwenda kuwakamata hao majamaa.inasemekana ni makomandoo yametoka urusi mwaka Jana.Nchi hii ukiwa mwanajeshi chochote unafanya na hakuna hatua utachukuliwa.
Mkuu wa Majeshi, mkuu wa polisi, waziri wa ulinzi, waziri wa mambo ya ndani kama kweli wanasubiri tamko la Rais kuchukua hatua basi watakuwa watu wa ajabu sanaUozo wa hii nchi ni pale Kila mamlaka husika zinaposubiria tamko la Rais ili zitekeleze Kazi wanayolipwa kufanya.
Wewe BOYA nini. Wewe hujui kuwa wanaume gia zao kwa mabinti kuwa hajaoa au wameachana na mke wake alitaka kumuwekea sumu, au anataka kuongeza mke wa pili. Kosa la huyo binti liko wapi..ccWakuu msitembee na wake za watu,……!”Mabintii msitembee na waume za watuu……. Kila mtu awe safe kwa upande wake