Suala la binti aliyefanyiwa ukatili wa kulawitiwa, tunahitaji kauli ya Rais ili Polisi watende haki na Mahakama ifanyekazi yake

Suala la binti aliyefanyiwa ukatili wa kulawitiwa, tunahitaji kauli ya Rais ili Polisi watende haki na Mahakama ifanyekazi yake

Kwa hiyo, huyo Binti ndiye anayemgharamia huyo Mume wa mtu! Wewe kama mkeo sio muaminifu achana naye. Kwani ukiua mwanaume mmoja, atapata mwanaume mwingine, je, na huyo utaua pia!? Mwishoni utaua wangapi!?
Mkuu swala sio kuua au kuacha……… naona watu wengiii wamelishikilia bango sana hili swala la huyo bintii wanasahau pia kukemea swala la huyo bintii kutembea na mme wa mtu….HII KITU SHOULD GO BOTH WAYS kukemea kitendo alichofanyiwa bint na kukemea tabia za mabint kutembea na waume za watu

Tutatifautianaa kweny kuhindle stress wakuu kila mtu awajibiee kweny nafasii yakee

NB; wale jamaa wamezingua sanaa
 
Mungu wangu! What happened to rule of law na independent judicial system..?
Ina maana independent judicial system ndo ime corrupt hivyo mpaka kuhitaji usaidizi wa maelekezo from executive na legislative bodies..? Mbona Naogopa kama ndo tumefika huko
 
Haikubaliki na wala hatuwezi kukaa kimya mpaka leo bila Polisi kuueleza umma hao vijana wavuta bangi wameshakamatwa au bado?

Ushahidi upo wazi na sura zao zinaonekana, maana yake wote wanajurikana, mfumo wa dola Tanzania unaanzia kwa wajumbe wa nyumba 10 wanawatambuwa watu wao.

Kuchakata taarifa za kukamata wahuni kama hawa ni kazi ya masaa tu tena chini ya masaa 24.

Nawauliza Polisi kwa nini wanaofanya makosa kama yule wa kuchoma moto picha ya Rais wanakamatwa haraka na wanahukumiwa haraka?

Tunaomba Rais aingilie kati hili tena Rais ni wa jinsia ya kike alipe masaa 24 jeshi la Polisi kuhakikisha umma wa Watanzania unapewa taarifa za kukamatwa kwao na kufikishwa mahakamani waende jela, hawastahili kuishi uraiani hao kabisa.

Nimemaliza.

Pia soma
Sasa mfno huyo rais akisema jamaa wasikamatwe, hiyo itakuwa imekaaje
Maana si unataka atoe tamko kwamba wakamatwe au wasikamatwe,
Asilimia 95 ya wabogo wanapenda tena wanapenda sana kupelekwa kama mbuzi yaan mbuzi kakubali kwenda!
Binafsi silaumu kuzaliwa bongo ila nashukur kuwa mm sipo kweny hiyo asilimia 95sabab nina akili zangu timamu na sijawah kumtegemea mtu.
Amen.
 
Inasemekana polisi wamepewa kichapo kizito baada ya kwenda kuwakamata hao majamaa.inasemekana ni makomandoo yametoka urusi mwaka Jana.Nchi hii ukiwa mwanajeshi chochote unafanya na hakuna hatua utachukuliwa.
 
Boss aliyeagiza kufanyika Kwa TUKIO unaambiwa ni captain huko jeshini, kwahyo usishangae mkono wa kulindana umeshaingizwa, Tz huna kitu huna haki.

Kwahyo hicho kitabaki kama kilio Cha samaki.
Itoshe kusema Africa tuna safari ndefu sana, hili TUKIO lingetokea nchi za wenzetu lisingechukua hata masaa matatu coz wapo active Hamna mambo ya kuangaliana usoni.

Video za TUKIO zipo(evidence)
Binti aliyefanyiwa TUKIO yupo(evidence)
Still police wanaomba msaada Kwa raia wema[emoji23] inachekesha ila Ina umiza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km mwehu, Woiiiih
 
Inasemekana polisi wamepewa kichapo kizito baada ya kwenda kuwakamata hao majamaa.inasemekana ni makomandoo yametoka urusi mwaka Jana.Nchi hii ukiwa mwanajeshi chochote unafanya na hakuna hatua utachukuliwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie mnachekeshaa sana akhii. Khaaah
 
Umekurupuka kuanzisha hii mada; labda kwa vile nchi yetu hii ya Kigagagigikoko rais ni mungu-mtu anayetegemewa kufanya kila kitu. Vyombo vya dola na mamlaka zinazohusika si zipo? Dr. Gwajima si yumo humu?

By the way, hao mbwa inasemekana ni mabaka mabaka na si ajabu wanaweza wasifanywe kitu!

IMG-20240805-WA0140.jpg
 
Boss aliyeagiza kufanyika Kwa TUKIO unaambiwa ni captain huko jeshini, kwahyo usishangae mkono wa kulindana umeshaingizwa, Tz huna kitu huna haki.

Kwahyo hicho kitabaki kama kilio Cha samaki.
Itoshe kusema Africa tuna safari ndefu sana, hili TUKIO lingetokea nchi za wenzetu lisingechukua hata masaa matatu coz wapo active Hamna mambo ya kuangaliana usoni.

Video za TUKIO zipo(evidence)
Binti aliyefanyiwa TUKIO yupo(evidence)
Still police wanaomba msaada Kwa raia wema😂 inachekesha ila Ina umiza.
Usicheke tupo raia wengine kama mimi siyo binadamu wa kawaida ...wanaweza kunitumia nikamkamate huyo kapten kambini kwake bila shida yoyote
 
Usicheke tupo raia wengine kama mimi siyo binadamu wa kawaida ...wanaweza kunitumia nikamkamate huyo kapten kambini kwake bila shida yoyote
Fanya hivo kama possible maana inaumiza
 
Mkuu swala sio kuua au kuacha……… naona watu wengiii wamelishikilia bango sana hili swala la huyo bintii wanasahau pia kukemea swala la huyo bintii kutembea na mme wa mtu….HII KITU SHOULD GO BOTH WAYS kukemea kitendo alichofanyiwa bint na kukemea tabia za mabint kutembea na waume za watu

Tutatifautianaa kweny kuhindle stress wakuu kila mtu awajibiee kweny nafasii yakee

NB; wale jamaa wamezingua sanaa
Bahati mbaya sana Sheria haijui hiyo lakini. Wajinga ndio wanapotezwa hivyo. Na Mume wa huyo Afande uchwara ataoa mwanamke mwingine na hao wajinga kama Wana wake zao nyumbani tayari habari ndio imeisha hiyo.
 
Duh watanzania baadhi wako na ushamba au ulimbukeni flan. Yan kilatukio litolewe taarifa na kila mtuu dah ifike mahala tutambue kuwa kuwa watu waloteuliwa na mh raisi au waliopo kwenye idara husika wanawajibika kufanya majukumu yao na si mpaka wapate maelekezo ya mh raisi.

Kama kilatukio raisi atazungumzia mawaziri au wasemaji wa idara husika watafanya nini. Watanzania tufike mahala tujifunze na tujue majukumu ya kila mtu.

Pia tusiwe tunaendeshwa sana na mihemko mpaka tunapitiliza. Kuna mabaya zaid ya haya ambayo tumeyaona.
Kubwa tuwalee vijana wetu katika njia bora na tuwapeleke katika nyumba za ibada wapate HOFU YA MUNGU.

Sikubaliani na makosa yote ya jinai maana madhara yake ni kwa jamii nzima
 
Mkuu swala sio kuua au kuacha……… naona watu wengiii wamelishikilia bango sana hili swala la huyo bintii wanasahau pia kukemea swala la huyo bintii kutembea na mme wa mtu….HII KITU SHOULD GO BOTH WAYS kukemea kitendo alichofanyiwa bint na kukemea tabia za mabint kutembea na waume za watu

Tutatifautianaa kweny kuhindle stress wakuu kila mtu awajibiee kweny nafasii yakee

NB; wale jamaa wamezingua sanaa
Facts mkuu. Kilamtu na ajichunge na ajiwekee mipaka.
 
Wakuu msitembee na wake za watu,……!”Mabintii msitembee na waume za watuu……. Kila mtu awe safe kwa upande wake
Yes exactly. Watu wanajihangaisha sana na matokeo badala ya kushughulika na chanzo. Kwani huyo afande alikurupuka? Je, Huyo binti alitegemea nini kwa kujifanya malkia kwa mume wa mtu licha ya kuonywa mara nyingi aache hako kamchezo kwamba katamfikisha pabaya? Amelinywa kama alivyoligema.
 
Inasemekana polisi wamepewa kichapo kizito baada ya kwenda kuwakamata hao majamaa.inasemekana ni makomandoo yametoka urusi mwaka Jana.Nchi hii ukiwa mwanajeshi chochote unafanya na hakuna hatua utachukuliwa.
Hii kesi ni fupa gumu sababu ya wahusika wenyewe. Imagine Captain katoa order waliotekeleza order ni makomandoo. Hivyo hapo ni kesi ya ngedere kwa nyani.

Nawaza tu kama mwanajeshi akiweka kofia tu kwenye dashboard anaweza tembea barabara zote kwa speed atakayo ila sio raia wa kawaida. Je, itakuwa kwenye kosa kama hilo la kubaka.
 
Uozo wa hii nchi ni pale Kila mamlaka husika zinaposubiria tamko la Rais ili zitekeleze Kazi wanayolipwa kufanya.
Mkuu wa Majeshi, mkuu wa polisi, waziri wa ulinzi, waziri wa mambo ya ndani kama kweli wanasubiri tamko la Rais kuchukua hatua basi watakuwa watu wa ajabu sana
 
.ccWakuu msitembee na wake za watu,……!”Mabintii msitembee na waume za watuu……. Kila mtu awe safe kwa upande wake
Wewe BOYA nini. Wewe hujui kuwa wanaume gia zao kwa mabinti kuwa hajaoa au wameachana na mke wake alitaka kumuwekea sumu, au anataka kuongeza mke wa pili. Kosa la huyo binti liko wapi.
 
Back
Top Bottom