Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,666
- 7,788
Wewe wa wapi? Nani kakudanganya wanajeshi hawashtakiwi?Umekurupuka kuanzisha hii mada; labda kwa vile nchi yetu hii ya Kigagigikoko rais ni mungu mtu anayetegemewa kufanya kila kitu. Vyombo vya dola na mamlaka zinazohusika si zipo? Dr. Gwajima si yumo humu?
By the way, hao mbwa inasemekana ni mabaka mabaka na si ajabu wanaweza wasifanywe kitu!
View attachment 3062718
Mods watahangaika na wewe, sina muda na mental case.Post ya kikum@ hii
Kwahy unasubr tamko la rais? Kwel ww n msnge.
Sasa mfno huyo rais akisema jamaa wasikamatwe, hiyo itakuwa imekaaje
Maana si unataka atoe tamko kwamba wakamatwe au wasikamatwe,
Asilimia 95 ya wabogo wanapenda tena wanapenda sana kupelekwa kama mbuzi yaan mbuzi kakubali kwenda!
Binafsi silaumu kuzaliwa bongo ila nashukur kuwa mm sipo kweny hiyo asilimia 95sabab nina akili zangu timamu na sijawah kumtegemea mtu.
Amen.
Uko sahihi.Inamaan raisi asipo toa tamko hao jamaa hawakamatwi? Tuache masihara basi.
Hili swala tunatakiwq kudeal na Polisi, Wakishindwa tunaenda kwa W/Mambo ya ndani. Na huu ndo uwajibikaji kila mmoja atimize majukumu yake, sio kila kitu Rais hakuna nchi inaongoza kwa mfumo huo
Kwani huyo mme wa mtu hajitambui hadi umsaidia wewe kumsemea?Huyo mme wa mtu alifanyishwa mapenzi kilazima?Nani alimtongoza mwenzake kati ya mwanamke au mwanaume?Na vipi kama huyo mwanaume alimdanganya binti kwamba hana mke?Kwa hiyo unahalalisha kwamba mtu atakayefanya mapenzi na mke wa mtu au mme wa mtu adhabu yake iwe kubakwa?Mkuu swala sio kuua au kuacha……… naona watu wengiii wamelishikilia bango sana hili swala la huyo bintii wanasahau pia kukemea swala la huyo bintii kutembea na mme wa mtu….HII KITU SHOULD GO BOTH WAYS kukemea kitendo alichofanyiwa bint na kukemea tabia za mabint kutembea na waume za watu
Tutatifautianaa kweny kuhindle stress wakuu kila mtu awajibiee kweny nafasii yakee
NB; wale jamaa wamezingua sanaa
Jeshini huwa kuna amri za kijinga hivyo?Hata hivyo hayo mambo yalifanyika mtaani sio kazini kwao kwa hiyo hapo hakuna utetetezi wa kusema eti Bosi ndio ametutuma tufanye kwani waliajiriwa kwa kazi ya kubaka watu au kulinda watu?Wabongo tulueni. Wahusika wote wapo nguvunu. Huyo mnayemuita Captain ashanyifolewa begani anahenyeshwa na makopolo!
Hao mapriveti wakipata wakili atawachomoa Kwa sababu walipewa amri na captain...... Uhalali au uharam wa amri atajua keptaini.
But kijeshi wameaga mashindano.
Inashangaza, yaani waziri kashatoa tamko,polisi wametoa tamko, ila bado wadau wanataka Rais aonyeshwe ile video ili nayeye atoe comment dah,jau kweliHumu kuna mitahaira kibao kila kitu rais atoe tamko na rais akifanya kila kitu basi atasemwa anavuka mipaka
Je huyo afande akikataa kwamba hakuwatuma?Wabongo tulueni. Wahusika wote wapo nguvunu. Huyo mnayemuita Captain ashanyifolewa begani anahenyeshwa na makopolo!
Hao mapriveti wakipata wakili atawachomoa Kwa sababu walipewa amri na captain...... Uhalali au uharam wa amri atajua keptaini.
But kijeshi wameaga mashindano.
Maswala ya kijeshi hushughulikiwa kijeshi na Wana mahakama yao!Mama ametoa mamilioni kumtibu Sativa aliyetekwa kisha kupelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay, Arusha sijui kwa nani lakini tunaweza kujua steling aliyepo kule tukikumbuka shambulio la Lissu kisha akaenda kupigwa risasi na kubwagwa Katavi. Alilisema pia atagharimia matibabu ya yule mtoto aliyejeruhiwa na msichana wa kazi. Sasa kwenye suala la huyu msichana mbona kimyaaa?
Hawajabaka bhana; acheni kukuza mambo. Walitekeleza amri ya afande.Hii kesi ni fupa gumu sababu ya wahusika wenyewe. Imagine Captain katoa order waliotekeleza order ni makomandoo. Hivyo hapo ni kesi ya ngedere kwa nyani.
Nawaza tu kama mwanajeshi akiweka kofia tu kwenye dashboard anaweza tembea barabara zote kwa speed atakayo ila sio raia wa kawaida. Je, itakuwa kwenye kosa kama hilo la kubaka.
Nilichogundua kuwa wew ni kum* watu kama nyie inatakiwa mfirw* hadharan, unapataje nguvu Kuita ule siyo ubakaji, yaan kumfanyisha mtu mapenz bila ridhaa yake siyo ubakaji shit, ni hasara kuwa na mitazania mijinga kama nyie,, siku yatamkuta mama akoHawajabaka bhana; acheni kukuza mambo. Walitekeleza amri ya afande.
Jeshini amri ni moja tu. Uki-define ubakaji ni kitu gani utagundua kwamba hilo walilofanya hali-fit kuitwa ni ubakaji. Hilo ni sexual harassment. (Unyanyasaji, uonevu, kuteswa kwa sababu ya unyonge wako).
Ni kweli yako mengi ila kosa moja halihalalishi kosa lingine kuwa halali.Mimi nashangaa watu kuipa hii habari kipaumbele na kuisema kila kona, mbona hayo mambo mtaani yanafanyika sana tu na hao wanasemwa kwasababu wameonekana kwenye video.
Yapo mengi vijana wanafanya yanatisha kuliko hata hilo
Wapekekwe iran/israel huko wakajifunze ustaarabu mpyaNdio shida ya kukosa kazi. Unakula bure,unalala bure matokeo yake unafanya vitu vya ajabu ajabu.