Suala la binti aliyefanyiwa ukatili wa kulawitiwa, tunahitaji kauli ya Rais ili Polisi watende haki na Mahakama ifanyekazi yake

Ni kweli yako mengi ila kosa moja halihalalishi kosa lingine kuwa halali.
Cha msingi tushirikiane wote kupaza sauti kwa matukio yote mabaya na baada ya hapo uonevu utapungua ila tukikaa kimya na kupuuzia maovu yataongezeka
Mimi sijaona kama kuna uonevu wowote, ni makubaliano ya pande zote mbili, kama alienda na akakubali kufanyiwa uonevu upo wapi.

Kukemea kunakuja baada ya kuona video zikivuja, ila wapo wengi wanafanya pasipo kuchukua video
 
Wewe kwa hii comment yako inaonyesha hata hujui kumetokea nini yaani ni kama umeamka kutoka usingizini.
Hivi unajua hata kilichotokea kwa yule binti ni kitu gani ambacho kinajadiliwa na kimegusa Watanzania wengi sana?
 
Mzee ivi unatumia kichwa Cha chin au Cha juu kufikiri, kwhyo ulivo angalia Ile video unaona Binti alilidhia si ndiyo, mtu anatishiwa kupgwa na chupa et alilidhia,
 
Wabongo tulueni. Wahusika wote wapo nguvunu. Huyo mnayemuita Captain ashanyifolewa begani anahenyeshwa na makopolo!

Hao mapriveti wakipata wakili atawachomoa Kwa sababu walipewa amri na captain...... Uhalali au uhar

Haikubaliki na wala hatuwezi kukaa kimya mpaka leo bila Polisi kuueleza umma hao vijana wavuta bangi wameshakamatwa au bado?

Ushahidi upo wazi na sura zao zinaonekana, maana yake wote wanajurikana, mfumo wa dola Tanzania unaanzia kwa wajumbe wa nyumba 10 wanawatambuwa watu wao.

Kuchakata taarifa za kukamata wahuni kama hawa ni kazi ya masaa tu tena chini ya masaa 24.

Nawauliza Polisi kwa nini wanaofanya makosa kama yule wa kuchoma moto picha ya Rais wanakamatwa haraka na wanahukumiwa haraka?

Tunaomba Rais aingilie kati hili tena Rais ni wa jinsia ya kike alipe masaa 24 jeshi la Polisi kuhakikisha umma wa Watanzania unapewa taarifa za kukamatwa kwao na kufikishwa mahakamani waende jela, hawastahili kuishi uraiani hao kabisa.

Nimemaliza.

Pia soma

Tunaomba Rais aingilie kati hili tena Rais ni wa jinsia ya kike alipe masaa 24 jeshi la Polisi kuhakikisha umma wa Watanzania unapewa taarifa za kukamatwa kwao na kufikishwa mahakamani waende jela, hawastahili kuishi

Haikubaliki na wala hatuwezi kukaa kimya mpaka leo bila Polisi kuueleza umma hao vijana wavuta bangi wameshakamatwa au bado?

Ushahidi upo wazi na sura zao zinaonekana, maana yake wote wanajurikana, mfumo wa dola Tanzania unaanzia kwa wajumbe wa nyumba 10 wanawatambuwa watu wao.

Kuchakata taarifa za kukamata wahuni kama hawa ni kazi ya masaa tu tena chini ya masaa 24.

Nawauliza Polisi kwa nini wanaofanya makosa kama yule wa kuchoma moto picha ya Rais wanakamatwa haraka na wanahukumiwa haraka?

Tunaomba Rais aingilie kati hili tena Rais ni wa jinsia ya kike alipe masaa 24 jeshi la Polisi kuhakikisha umma wa Watanzania unapewa taarifa za kukamatwa kwao na kufikishwa mahakamani waende jela, hawastahili kuishi uraiani hao kabisa.

Nimemaliza.

Pia soma
Tz sioni kama Kuna uhuru wa sheria na Raia wake ...sijui Ln hawa naojiita wenye nchi watajitambua ...Haki itatoka wap wakati maovu tunafichia sizana kama kweli wahusika wote watakula fyekeo la shingo...Sioni Haki kwa mtanzania wa chini
 
Mzee ivi unatumia kichwa Cha chin au Cha juu kufikiri, kwhyo ulivo angalia Ile video unaona Binti alilidhia si ndiyo, mtu anatishiwa kupgwa na chupa et alilidhia,
Hiyo video Ni sample tu ya mambo ambayo yanaendelea mtaani, kama ni kukemea basi inahitajika juhudi kubwa sio kuzungumzia video moja tu ambayo imeonekana
 
Wewe kwa hii comment yako inaonyesha hata hujui kumetokea nini yaani ni kama umeamka kutoka usingizini.
Hivi unajua hata kilichotokea kwa yule binti ni kitu gani ambacho kinajadiliwa na kimegusa Watanzania wengi sana?
Nimeona video na nimeelewa kilicho tokea, lakini point yangu ni kwamba yapo mengi yanafanyika mtaani zaidi ya hayo
 
Kama umeona kuna mengi mengine yanayotokea mtaani ulichukua hatua gani?ulitoa taarifa wapi?Kama ulishuhudia matukio mtaani kwenu na ukakaa kimya Watanzania wengine watajuaje?
Sikukatalii ni kweli kuna matukio mengi ya unyanyasaji wanafanyiwa wananchi mbalimbali niliyaona kupitia ziara za Paulo Makonda lakini hiyo inatokana na uzembe wa jamii yetu kufumbia macho,akili zetu zimelala.
Eti utashangaa mtu mmoja anafanya tukio la kinyama na watu wa kijiji kizima au mtaa mzima wanamuogopa mtu mmoja eti kisa ana hela au ana cheo fulani.
Angalia kwa wenzetu Kenya haijalishi una cheo gani ukimtesa mtu mmoja usiku raia wote watakuja kuizingira nyumba yako au ukipita na gari lako ukitokea kazini kwako wanakublock kwa mbele na kukushusha ili uwaeleze kinagaubaga kitendo ulichokifanya na watakuwa wanakuhoji kwa makofi
 
Back
Top Bottom