Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Naona ndani ya wiki hizi mbili wabunge wetu wameendelea kukunja Shingo wakiongozwa na spika wao , wengi wakiamini kuwa kukiwa na tume huru ya uchaguzi na mipaka hawatashinda Nafasi zao , huu ni ubinafsi,
Kuendelea kulazimisha wakurugenzi kusimamia uchaguzi wakiwa na walimu ambao sasa wazi inaonekana lengo Lao ni kuvuruga halikubaliki.
Jambo hili hata vyombo muhimu nchini vimeshachoka na ni muda sasa umefika ukandamizaji ambao Hakuna tina uishe.
Tunatambua kuwa Jaji Mkuu baada ya kuhongwa mkataba walitoa hukumu iliyowarudisha tena wakurugenzi kusimamia uchaguzi ..jambo ambalo hata viongozi wakuu wastaafu Akiwamo Joseph Warioba , Cleopa Msuya na wengine kwa Nyakati tofauti nao wameona Halina tija tena kwa Dunia ya Leo
Inashauriwa kuwa wananchi wakiongozwa na wapinzani na baadhi ya wana ccm wenye uelewa na kutaka Amani ya nchi hii wasikubali haya yaendelee
Wanasheria warudi mahakamani wakate rufaa , na wapinzani na wanaharakati na wana ccm waelewa nao waendeleee kudai haya marekebisho..
Haya yakishindikana iko siku mfumo utachoka na kusaidia wizi usio na tija na tutaachia ccm ianguke mchana kweupe.