Suala la bunge kutaka kumsifia rais linaonesha bunge limegeuka kuwa wasemaji wa rais badala ya wananchi

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Suala la bunge kutaka kumsifia rais linaonesha bunge limegeuka kuwa wasemaji wa rais badala ya wananchi.

Ni bunge haramu hilo linaenda kinyume na makusudi ya kuundwa kwake ni wawakilishi wa wananchi sio wa rais.

Hii ndio shida ya kuwaingiza mbumbumbu bungeni hawajui wameenda kufanya nini hawajui majukumu yao katiba haikupaswa kupuuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…