Suala la Chama kwenda Yanga ( KIROHO)

Suala la Chama kwenda Yanga ( KIROHO)

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Words are instrument of creation. Maneno yanaumba.

Kwa muda wa miaka minne mashabiki wa Yanga wamekuwa wakisema " Chama kasajiliwa Yanga, Chama kasajiliwa Yanga"

Hatimaye Chama kasajiliwa Yanga kweli.

Kwa miaka yote hiyo wakati mashabiki wa Yanga wakisema " Chama kasajiliwa Yanga" hawakuwa na uhakika wowote kwamba Chama kasajiliwa Yanga ila walikuwa wana wish Chama asijiliwe Yanga. But walikuwa wanatamka kwa kwa imani kwamba siku moja Chama atasajiliwa Yanga. Imani yao imewalipa.

Haya sasa na wewe unaesumbuliwa na matatizo mbali ya kimaisha Anza kutamka sasa kama kwamba tayari umeshafanikiwa.
 
Anhaa kumbe? Sasa ngoja na sisi wana Simba tuanze kusema Vinicius Junior kasajiriwa Simba kwa miaka minne mfululizo. Au watanzania tuanze kusema "tumebeba AFCON 2027" kuanzia leo
 
Anhaa kumbe? Sasa ngoja na sisi wana Simba tuanze kusema Vinicius Junior kasajiriwa Simba kwa miaka minne mfululizo. Au watanzania tuanze kusema "tumebeba AFCON 2027" kuanzia leo
You must be honest and reasonable. It doesn't work that way
 
Back
Top Bottom