Mimi si mtaalamu wa sheria kwa hiyo natumia mantiki ya kawaida tu.
Ni kweli mkataba wa Fei toto ulikuwa na kipengele kinachosema mchezaji akitaka kuvunja mkataba anatakiwa kulipa kiasi cha 100M na angalau mshahara wa miezi mitatu?
Kama kipengele hicho kilikuwepo,mchezaji akalipa,atakuwa ametekeleza matakwa ya mkataba ama amefanya uhuni?
Kama ametekeleza mahitaji ya mkataba,je kuna kipengele kingine kinasema ili awe huru,ajadiliane wakubaliane na club yake?
Ama kuna kipengele kinasema ili alipe hiyo 100M na mshahara wa angalau miezi mitatu lazima ajadiliane na kukubaluana kwanza na club?
Kama yanga wamekataa hiyo pesa,si wao ndio wanataka kuvunja masharti ya mkataba?