Suala la Feisal linaonesha tatizo la elimu yetu lilivyo kubwa

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Mimi si mtaalamu wa sheria kwa hiyo natumia mantiki ya kawaida tu.

Ni kweli mkataba wa Fei toto ulikuwa na kipengele kinachosema mchezaji akitaka kuvunja mkataba anatakiwa kulipa kiasi cha 100M na angalau mshahara wa miezi mitatu?

Kama kipengele hicho kilikuwepo,mchezaji akalipa,atakuwa ametekeleza matakwa ya mkataba ama amefanya uhuni?

Kama ametekeleza mahitaji ya mkataba,je kuna kipengele kingine kinasema ili awe huru,ajadiliane wakubaliane na club yake?

Ama kuna kipengele kinasema ili alipe hiyo 100M na mshahara wa angalau miezi mitatu lazima ajadiliane na kukubaluana kwanza na club?
Kama yanga wamekataa hiyo pesa,si wao ndio wanataka kuvunja masharti ya mkataba?
 
Uchezaji soka ni ajira kama ajira nyingine ndo maana wachezaji wa nje wanapewa kibali cha kufanya kazi nchini. Tena wachezaji wanatoka nje wanalipa kodi tofauti na wa ndani mbali ya kulipia kibali cha kazi ambacho kwa nchi nyingine kinalipiwa pakubwa.
Kwenye mkataba wa kazi ukitaka kuacha kazi unaomba kuvunja mkataba, mkikubaliana na mwajiri unalipa mshahara wa mwezi mmoja lakini huwezi kuandika tu barua kisha unachukua 1560000/- na kuziweka benki kisha ukatimka zako. Unaposikia wamevunja mkataba kwa makubaliano ya pande mbili ndo hivyo.
 
Mimi si mtaalamu wa sheria kwa hiyo natumia mantiki ya kawaida tu.

Ni kweli mkataba wa Fei toto ulikuwa na kipengele kinachosema mchezaji akitaka kuvunja mkataba anatakiwa kulipa kiasi cha 100M na angalau mshahara wa miezi mitatu?

Kama kipengele hicho kilikuwepo,mchezaji akalipa,atakuwa ametekeleza matakwa ya mkataba ama amefanya uhuni?

Kama ametekeleza mahitaji ya mkataba,je kuna kipengele kingine kinasema ili awe huru,ajadiliane wakubaliane na club yake?

Ama kuna kipengele kinasema ili alipe hiyo 100M na mshahara wa angalau miezi mitatu lazima ajadiliane na kukubaluana kwanza na club?
Kama yanga wamekataa hiyo pesa,si wao ndio wanataka kuvunja masharti ya mkataba?
Kumbe na wewe unajikinga kwenye ukasoro wa hiyo elimu .

Nilitegemea nisome uzi bila kuziona alama za kutuuliza maswali sisi
 
Wewe mwenyewe mtoa mada elimu yako duni.
 
Tatizo linalotokea hapo, wengi wanachanganya clause zilizopo kwenye mikataba yao, wakidhani ndio standard lazima ziwepo kwenye mikataba yote.

Ukiwaambia mambo ya kimkataba huwa ni specific baina ya pande mbili zilizosaini mkataba husika hawaelewi, wao ni kukomaa tu Fei amekosea, ukiwauliza waoneshe kosa lililopo kimkataba hakuna mwenye majibu.

Wao wamekariri tu taratibu lazima zifuatwe, kama vile siku hizi kuna taratibu zilizopo juu ya sheria, ajabu hawa nao wanajiona magwiji wa sheria.
 
Kama nchi imejaa watu wasioelewa umuhimu wa Katiba ya nchi na sheria zake, unategemea nini? Ukitaka kumkimbiza mtanzania mwambie tusaini mkataba. Tunaogopa commitments za namna hii maana hatujui wala kuamini katika business ethics.
 
Back
Top Bottom