Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,180
- 1,291
' Kila mchezaji mzawa hatakubali Feisal pekee ndiye arekebishiwe kipato huku wote wanakimbiza mpira dk 90! hili swala la feisal limeanzia kwa Stephane Aziz-K kununuliwa kwa bei mbaya na kuwa mchezaji ghali klabuni.
Ikumbukwe mama mzazi wa Azizi K ndiye aliyekuwa meneja wake. Leo feisal kudai maboresho makali yanga huku mama yake mzazi akiwa mmoja wa wakala wake.
Ni Bora Yanga imuachie aende zake Azam au SSC kuliko kumkubalia madai yake halafu kila mchezaji mzawa naye aje na wakala wake kulalamikia kipato hakitoshi.
Huu ni mgogoro hautofautiani na ule wa India na jimbo la kashmir kudai kujitenga kwa sababu India ili mruhusu Pakisatn kujitenga.
Serikali ya india imejikuta ikiandamwa na majimbo kadhaa yenye dini tofauti na hindu kujitaka kujitenga kwa sababu moja tuu pakistan ilikubaliwa.
YANGA MENEJIMENT IMRUHUSU FEISAL AONDOKE AKACHEZE MPIRA ATAKAKO KULIKO KUMKUBALIA MADAI YAKE ILI KUEPUSHA VINYONGO KUZAGAZAGAA KWA WACHEZAJI WAZAWA.