Wakuu, mimi sio mwanasiasa, sina kadi ya chama chochote, vipindi vilivyopita niliweka utaratibu wa kuangalia yule ninayemwona anaweza kuwa kiongozi wangu nampigia kura.
Kuhusu suala la kufungiwa kanisa la Askofu Gwajima, huku waumini wakisumbuliwa wasifanye ibada, wakikamatwakamatwa, na mahakama ikisema haijahusika! Inaleta mshangao.
Sio mshirika wa kanisa hili, moyo wangu umeumia sana kuona waumini wa kanisa wakiteseka, mambo wanayofanyiwa yanaumiza.
Kosa lao ni lipi? Kwanini taasisi nzima iumizwe kwa ajili ya mtu mmoja? Ni kosa kuwa mwanasiasa? Atakuwa mchungaji/Askofu wa kwanza kuwa bungeni huku anaongoza kanisa? Nasikia huzuni mno.

Tunaongelea sasa wewe unaongelea yaliyopita, mangapi yakifufuliwa tutaangaliana kweliNyie mna watu wanafiki , unawezaje kufungia kanisa kwa kosa la mtu mmoja ...Ila kumbukeni kuna mashekhe walinyongwa kabisa kwa kesi za uchochezi ...Kwangu si busara kufungia kanisa ni sehemu ya ibada kwa watu wengi.
Humu ndani hatujitambuiWakuu, mimi sio mwanasiasa, sina kadi ya chama chochote, vipindi vilivyopita niliweka utaratibu wa kuangalia yule ninayemwona anaweza kuwa kiongozi wangu nampigia kura.
Kuhusu suala la kufungiwa kanisa la Askofu Gwajima, huku waumini wakisumbuliwa wasifanye ibada, wakikamatwakamatwa, na mahakama ikisema haijahusika! Inaleta mshangao.
Sio mshirika wa kanisa hili, moyo wangu umeumia sana kuona waumini wa kanisa wakiteseka, mambo wanayofanyiwa yanaumiza.
Kosa lao ni lipi? Kwanini taasisi nzima iumizwe kwa ajili ya mtu mmoja? Ni kosa kuwa mwanasiasa? Atakuwa mchungaji/Askofu wa kwanza kuwa bungeni huku anaongoza kanisa? Nasikia huzuni mno.
Hai mashehe walinyongwa nchi gani? Walinyongwa mtawala akiwa Nani?Nyie mna watu wanafiki , unawezaje kufungia kanisa kwa kosa la mtu mmoja ...Ila kumbukeni kuna mashekhe walinyongwa kabisa kwa kesi za uchochezi ...Kwangu si busara kufungia kanisa ni sehemu ya ibada kwa watu wengi.
Si jambo zuri ila ikifikia level hii ingefaa kanisa husika kuja na utaratibu unaofaa wa kufanya ibada au kuwa nao mapema ili kulinda waumini wake.Wakuu, mimi sio mwanasiasa, sina kadi ya chama chochote, vipindi vilivyopita niliweka utaratibu wa kuangalia yule ninayemwona anaweza kuwa kiongozi wangu nampigia kura.
Kuhusu suala la kufungiwa kanisa la Askofu Gwajima, huku waumini wakisumbuliwa wasifanye ibada, wakikamatwakamatwa, na mahakama ikisema haijahusika! Inaleta mshangao.
Sio mshirika wa kanisa hili, moyo wangu umeumia sana kuona waumini wa kanisa wakiteseka, mambo wanayofanyiwa yanaumiza.
Kosa lao ni lipi? Kwanini taasisi nzima iumizwe kwa ajili ya mtu mmoja? Ni kosa kuwa mwanasiasa? Atakuwa mchungaji/Askofu wa kwanza kuwa bungeni huku anaongoza kanisa? Nasikia huzuni mno.
Mazingira ya sasa kufanyika ibada nyumbani ni ngumuSi jambo zuri ila ikifikia level hii ingefaa kanisa husika kuja na utaratibu unaofaa wa kufanya ibada au kuwa nao mapema ili kulinda waumini wake.
Mapema enzi za mitume walipokuwa wanashambuliwa ili kuwa salama walifanya ibada nyumbani kwa waumini kwa vikundi. Hata wao ili kuwa salama na kutoshindana na mamlaka ilifaa waandae mazingira hayo wakati wakisubiri haki kutendeka. Kwenda eneo ambalo limewekewa zuio ni kuhatarisha uhai. Biblia inatutaka tuwe wenye tahadhari na wachungaji kulinda waumini wao kwa mbinu mbalimbali.
Kukifanyika mipango mizuri inawezekana. Roman Catholic kuna ibada zinafanyika nyumbani. Hebu fikiria ndio kanisa liwe limefungwa, wanaweza shindwa kuwa na ibada? Nafikiri kwenye hizo Jumuiya ibada itafanyika mpaka swala lao litakapopata suluhu.Mazingira ya sasa kufanyika ibada nyumbani ni ngumu
umekula ban ya kutoshaNyie mna watu wanafiki , unawezaje kufungia kanisa kwa kosa la mtu mmoja ...Ila kumbukeni kuna mashekhe walinyongwa kabisa kwa kesi za uchochezi ...Kwangu si busara kufungia kanisa ni sehemu ya ibada kwa watu wengi.
Hoja yako ina mantiki, inakuwa rahisi kwa walioweka utaratibu huoKukifanyika mipango mizuri inawezekana. Roman Catholic kuna ibada zinafanyika nyumbani. Hebu fikiria ndio kanisa liwe limefungwa, wanaweza shindwa kuwa na ibada? Nafikiri kwenye hizo Jumuiya ibada itafanyika mpaka swala lao litakapopata suluhu.
Watu wenye mamlaka wakiweka utepe wao wa zuio basi hatupaswi kuweka mashindano yoyote ya kuhakikisha tunapatikana eneo hilo hata kama tuna haki. Hili liko kwenye mazingira mengi hata ya kibiashara ama taasisi nyingine zisizo za kidini. Lazima waumini wanapofanya jambo wahakikishe wanalinda afya na uhai wao dhidi ya vyombo vya dola. Kuna wakati vinaweza tenda kwa njia isiyo ya busara tukadhurika. Tukiwa kama wakristo tunaiga mfano wa Yesu na mitume namna ya kushughulika na mamlaka.