Fumbo la mjinga....Wakuu, mimi sio mwanasiasa, sina kadi ya chama chochote, vipindi vilivyopita niliweka utaratibu wa kuangalia yule ninayemwona anaweza kuwa kiongozi wangu nampigia kura.
Kuhusu suala la kufungiwa kanisa la Askofu Gwajima, huku waumini wakisumbuliwa wasifanye ibada, wakikamatwakamatwa, na mahakama ikisema haijahusika! Inaleta mshangao.
Sio mshirika wa kanisa hili, moyo wangu umeumia sana kuona waumini wa kanisa wakiteseka, mambo wanayofanyiwa yanaumiza.
Kosa lao ni lipi? Kwanini taasisi nzima iumizwe kwa ajili ya mtu mmoja? Ni kosa kuwa mwanasiasa? Atakuwa mchungaji/Askofu wa kwanza kuwa bungeni huku anaongoza kanisa? Nasikia huzuni mno.
HAKI ITASHINDAWakuu, mimi sio mwanasiasa, sina kadi ya chama chochote, vipindi vilivyopita niliweka utaratibu wa kuangalia yule ninayemwona anaweza kuwa kiongozi wangu nampigia kura.
Kuhusu suala la kufungiwa kanisa la Askofu Gwajima, huku waumini wakisumbuliwa wasifanye ibada, wakikamatwakamatwa, na mahakama ikisema haijahusika! Inaleta mshangao.
Sio mshirika wa kanisa hili, moyo wangu umeumia sana kuona waumini wa kanisa wakiteseka, mambo wanayofanyiwa yanaumiza.
Kosa lao ni lipi? Kwanini taasisi nzima iumizwe kwa ajili ya mtu mmoja? Ni kosa kuwa mwanasiasa? Atakuwa mchungaji/Askofu wa kwanza kuwa bungeni huku anaongoza kanisa? Nasikia huzuni mno.
Asante mkuuHAKI ITASHINDA
Mungu siku zote hajawai kushindwa.
Kama ilivyo kwa T.I.L hatanyongwa kwamaana UHAINI adhabu yake ni KIFO.
Mimi sipo CCM wala CDM ila napenda maisha yangu yote nifuate sheria na kuitii.
HAWA WAUMINI HAWAJATENDEWA HAKI.
Nguvu ya Mungu kupitia kwa Mwanae Yesu Kristo watashinda.
Kuna muumini alisimama na KUULIZA "IVI IMAMU AKIKOSEA SERIKALI, JE MISIKITI ALIYOWAI KUSWALI NA KUIONGOZA ITAFUNGWA".
Naomba mawaziri,Makatibu na Viongozi wote waliopo serikalini watafakari katika hili....
Kosa ni kusema kweli Kwa kukemea dhambi na uovu wa watawala na kuwaomba waache kuteka, kutesa, kufira na kuua watanganyika wenzao...hilo ndio kosa.Wakuu, mimi sio mwanasiasa, sina kadi ya chama chochote, vipindi vilivyopita niliweka utaratibu wa kuangalia yule ninayemwona anaweza kuwa kiongozi wangu nampigia kura.