Suala la kanisa kufungiwa linaniumiza moyo wangu

Fumbo la mjinga....
 
HAKI ITASHINDA
Mungu siku zote hajawai kushindwa.
Kama ilivyo kwa T.I.L hatanyongwa kwamaana UHAINI adhabu yake ni KIFO.
Mimi sipo CCM wala CDM ila napenda maisha yangu yote nifuate sheria na kuitii.
HAWA WAUMINI HAWAJATENDEWA HAKI.
Nguvu ya Mungu kupitia kwa Mwanae Yesu Kristo watashinda.
Kuna muumini alisimama na KUULIZA "IVI IMAMU AKIKOSEA SERIKALI, JE MISIKITI ALIYOWAI KUSWALI NA KUIONGOZA ITAFUNGWA".
Naomba mawaziri,Makatibu na Viongozi wote waliopo serikalini watafakari katika hili....
 
Asante mkuu
 
Kosa ni kusema kweli Kwa kukemea dhambi na uovu wa watawala na kuwaomba waache kuteka, kutesa, kufira na kuua watanganyika wenzao...hilo ndio kosa.
 
Kosa ni kusema kweli Kwa kukemea dhambi na uovu wa watawala na kuwaomba waache kuteka, kutesa, kufira na kuua watanganyika wenzao...hilo ndio kosa.
Aisee😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…