Suala la Kizushi

Suala la Kizushi

Deskmate, mimi sijui! siwezi kusema hiki au kile
Sometimes unasema huwezi kusamehe na unasamehe
Sometimes unasema kila kosa ni la kizembe ila yakikukuta
unaanza kumtafutia excuses kabla hata hajazileta yeye
So I just take it as it comes...
It all depends with how hurt I am, and how strong I will be living without him
Nikiona nimeumia sana ila nitaumia zaidi nikiendelea kua nae basi namwacha
Nikiona nimeumia sana ila nikimwacha nitaumia zaidi basi namsamehe.
Kosa lenyewe au kuomba kwake msamaha havina impact kiivo
(but I may pretend it has, just out of pride, and to display some sense of logic)...

Good explaination. Thank you.
 
Sijasema kua seduction lazima iwe ya mwezi au hata ya masaa.
Hata huyo mwanamke mwenye kanga moja, si unamuona kwa mbali, in an open space (sebule ni open enough), huku wewe umevaa.
How do you get from there to a closed space (maybe sebule hiyo hiyo but mnaifanya kua private space) na wewe huvai, yeye havai? huoni kama kuna dakika kadhaa zimepita hapo ambazo zingeweza kutumika to put more space or less space between you?
Hata hivo mara nyingi haitokei this close, inatokea in parties, or in bars, where people spend few hours talking (drinking), flirting and seducing each other. sending signals about their intention and responding to those signals etc.
Then they take the decision to make it happen and they start to plan about it. where, when, how, etc
Ask yourself kwa nini wasitumii huo muda wote, na hizo efforts zote kujaribu kuweka distance between them and the desired person???

RR nimekupata vizuri sana labda mimi ndio haujanipata. Acha nidadavue

Unajua naongelea situation ambayo yaani labda mwanamke amemtaka married/commited man mwenye mapenzi ya dhati kwa waifu wake for a long time na kuna siku akapata chance lets say kwenye party or wherever na huyu mwanamke akatumia maumbile/utaalamu/feminine yake n.k kutrigger hisia za huyu mume wa mtu. Na Labda enviroment ikachangia kwakuwa ni sehem ya furaha na wenyewe wanasema "furaha ikizidi huzaa msiba". Sasa from nowhere akajikuta lile joto la hatari limeamka na likamsababishia kutenda kosa but deep inside ana true love kwa waifu wake. Vipi hapo?

Naomba msikilize huyu Gareth Gates hapa chini ili unielewe zaidi.

Last edited by a moderator:
Apa maana ya halisi ya "vishawishi" ni muhum!
Maana ya haraka haraka labda niigemeze kwenye mapenzi kwavile mada inahusu mapenzi. "Ni vile vitu vinavyokutia majaribuni (na vinavyokubalika kimaumbile) mpaka ukajisikia/ukalazimika kumkosea mwenza wako kimapenzi" NB: hii ni definition ya kubuni tu kama kuna mtaalam anaeelewa zaidi anaweza akaiweka halisi.
 
hehehe mkuu hiyo passport size yako hapo kwenye avatar viza ya ulaya utapewa kweli?

nitapewa tu mkuu,ulipotea sana,hope umefufuka kwa kasi mpya,maana hapa jukwaani tuna dawa mbili ya kutibu malaria(klorokwini) na ya kutuliza maumivu(asprin)
 
umeibiwaje saa na ww kloroquin au ndio umeisahau nyumba ndogo?vishawishi vipo na vitaendelea kuwepo mpaka kiama.
 
nitapewa tu mkuu,ulipotea sana,hope umefufuka kwa kasi mpya,maana hapa jukwaani tuna dawa mbili ya kutibu malaria(klorokwini) na ya kutuliza maumivu(asprin)
Dah! Sijarudi mazima bado mkuu! niko nje kwa zamana tu! siku hizi hata kesi za kula chabo tu wanakuweka lupango miaka 2. CCM bana!
 
umeibiwaje saa na ww kloroquin au ndio umeisahau nyumba ndogo?vishawishi vipo na vitaendelea kuwepo mpaka kiama.
Niliiweka kidirishani nilikuwa naichaji, saa yenyewe unachaji betri kwa jua, mzembe kaivuta kwa mkongojo wa sumaku. Nipe pole tu manaake Hii saa imenihuzunisha kuliko kifo cha jirani yangu.
 
RR nimekupata vizuri sana labda mimi ndio haujanipata. Acha nidadavue

Unajua naongelea situation ambayo yaani labda mwanamke amemtaka married/commited man mwenye mapenzi ya dhati kwa waifu wake for a long time na kuna siku akapata chance lets say kwenye party or wherever na huyu mwanamke akatumia maumbile/utaalamu/feminine yake n.k kutrigger hisia za huyu mume wa mtu. Na Labda enviroment ikachangia kwakuwa ni sehem ya furaha na wenyewe wanasema "furaha ikizidi huzaa msiba". Sasa from nowhere akajikuta lile joto la hatari limeamka na likamsababishia kutenda kosa but deep inside ana true love kwa waifu wake. Vipi hapo?
Klorokwin nimekuelewa sana, labda wewe ndio hujanielewa: Hivi hapo bold inawezekana kabisa mwanaume mwenye kujijua ashindwe kujua lile joto lale la hatari linamshwa na nini? Maybe sababu mimi sio mwanaume! I believe you know what type of things are almost impossible for you to resist (even if I believe you can rersist ANYTHING if you want). Mfano Bwana Boss kasema akiona mwanamke mwenye makalio makubwa anachanganyikiwa. So if he is committed to someone else, kwa nini aruhusu wanawake wa makalio makubwa kumkaribia na kuanza kumshawishi?
He knows pertinently kwamba joto likipanda it will be very hard for him to escape. Kwa nini unaruhusu mwili wako kua receptive to vishawishi? Are you controlling your body or is it controlling you?
Just know your limits and don't cross them. If you cross them then take responsibility, sio uanze kusema ulishindwa kucontrol.
 
Sasa nimekupata RR, point yako unakusudia kusema kwamba kama hauwezi kukabiliana na vishawishi basi inabidi uviepuke si ndio? Dah! Kwa maelezo yako inaonesha Nafasi ya msamaha baada ya makosa ni ndogo sana katika katiba yako. Ok acha niweke na point hii kwenye faili. Hii research ikikamilika tutagawana mapato.
Ubarikiwe sana RR, Tunakupenda sana mod wetu , please usje ukajiuzulu
 
Back
Top Bottom