Suala la Kizushi

Kwa nini temptation zisiwepo? zipo sana tu mkuu,
Ila uwezo wako wa kuzishinda ndio litaonesha kua penzi ni la dhati.
Not only kuzishinda mwenyewe ila kumuhusisha pia mwenzio
whether she knows it or not, katika mpango mzima wa kushinda temptation
 
Nimekufahamu (kwa mujibu wa mazingira yangu) na ninakubaliana na hizi sababu, lakini tusubiri wachangiaji maana viwango vya ufahamu (na mazingira) vinatafautiana.
 


  1. so sad indeed
 
aisee, this is a very lame excuse ya kujustify kugawa the most intimate thing which is only meant for your spouse
Pengine ninaweza kuwa tafauti na hiyo nyekundu. Kwangu mimi penzi la dhati ni lile linaloambatana na "loyalty" zaidi kuliko "honesty". Inapobidi, kwa kutumia vigezo vya penzi la dhati, ninaweza kusamehe mtu "unfaithful" kuliko "disloyal".
 
kila kitu kizuri lazima kipate mapambano.
Penzi la dhati halina exception litakutana na mapambano.
Na mapambano hayo ni ya kivishawishi zaidi.

Ok Mrs fellow tablet, sasa vishawishi unavipa nafasi gani unapotathmini kosa alilokutenda titanic wako?
 
Kwanza Mrs Kaizer kabla kwenda kwenye mada napenda kukujulisha kwamba wewe hata ukipotea tena mwaka mzima usihofu kuhusu mwali kabisaaa, yuko salama na mlinzi niko makini sana na nashkuru imani alonipa Mungu, yaani akienda bafuni basi mi nafumba macho yote, kwavile nimelinda vizuri mwali naomba na husninyo mnikabizi nimlinde manake nimegundua bishanga anamnyemelea.

Bek to topik: Yaani Ashadii wewe ndio umenielewa hasa na nimekupata 100% na hii thread ni ya kwangu lakini nataka kujifunza sth so acha nikusanye maujuzi kutoka kwa wengine.

Nilikumiss pia, mpaka nikajishtukizia waifu wa bosi apa kazini namuita Ashadii
 
mazingira huwa haya husishwi kutokana inaweza kumkandamiza mlalamikaji ndo maana watu wanaikimbia..
Lakini jeee wewe unaweza ukatathmini mazingira kabla ya kumhukumu mwenza wako?
 
one night stand akiwa kwenye ulevi havisumbui
nitaona haikuwa intensional
lakini ile anamsotea mtu mwaka
afu aseme kishawishi simwelewi

nampiga na mwiko tu
Ok Mrs fellow tablet, sasa vishawishi unavipa nafasi gani unapotathmini kosa alilokutenda titanic wako?
 
ukianza ku-consider mazingira, una-create room kwa ajili ya watu kutafuta visingizio... at the end of the day, ndiyo unaanza kusikia visingizio vya ajabu kama 'shetani alinipitia' etc
Assume kwamba mwenza wako unamuhisi ana mapenzi ya dhati kwako lakini akatenda kosa ambalo unalihisi haliendani na unavyomuelewa. Je utashawishika kwamba sio tabia yake bali ni vishwawishi tu?

Cartura hapa jaalia kwamba unaemhukumu unamuhisi ana penzi la dhati kwako na sio wale wa kutafuta visingizio.
 
Vishawishi vipo na vitaendelea kuwepo! Nguvu ya penzi hupimwa katika kuvishinda hivyo vishawishi!

Na nguvu hiyo ipo kwa mtu ndio maana huyo mtu hulaumiwa pale anapoanguka ktk vishawishi!
Nakubaliana na wewe sana Kaunga, lakini suala langu ni je hakuna probability hata ya 0.00005% ya kufeli kuvishinda vishawishi na ukawa reasonable kwa mwenza wako?
 
weee, husy huwajui wanamme?
Akisafiri 2weeks umeliwa
usiongelee kaenda kozi miezi 6 hadi mwaka
anaoa kabisa

vinginevyo atarudi ina kutu
si unajua kutu haina dawa ikishatokea??
Sasa hiki ni kisingizio halali kabisa.

mazingira hatuyapi nafasi kwasababu mara nyingi aliyetenda kosa anakuwa alishaacreate mazingira ya hilo kosa kutokea. Lawama zote lazma ziende kwake.
 
Pole kwa kuibiwa saa yako aina ya seiko!
Inauma sana aisee! ndio nimeiweka kwenye hii sredi huenda mods wakanionea huruma wakanimegea hela za michango ya JF nikanunue mpya.
 
Ubarikiwe sana kwa ufafanuzi, well said
 
Swahiba wewe tena? Umesahau tuliapa kushirikiana kwa dhiki na faraja?

Afu klorokwini muongo sana amesema yuko chit chat nimemfuata wala hayupo, kumbe hajaacha utapeli eeh? Yan sijui wampendea nini swahiba jamani!
Mrs Nitonye umeanza majungu, nimepata kazi ya upolisi nitakusakazia kesi la unga wewe na nitonye wako ukiendelea kuharibu CV
 
Assume kwamba mwenza wako unamuhisi ana mapenzi ya dhati kwako lakini akatenda kosa ambalo unalihisi haliendani na unavyomuelewa. Je utashawishika kwamba sio tabia yake bali ni vishwawishi tu?

utetezi kwamba ameshawishika tu ila ana mapenzi ya dhati hauwezi kukubalika... ni afadhali tu akubali kuchukua responsibility kwa kosa lake na aombe msamaha badala ya kuleta visingizio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…