Suala la Kizushi

Suala la Kizushi

Kwa nini temptation zisiwepo? zipo sana tu mkuu,
Ila uwezo wako wa kuzishinda ndio litaonesha kua penzi ni la dhati.
Not only kuzishinda mwenyewe ila kumuhusisha pia mwenzio
whether she knows it or not, katika mpango mzima wa kushinda temptation
 
Kuna binti/Mwanamke anaweza akawa na mtu wake ambae anampenda saana kwa dhati. Ila ikatokea akapata tatizo na mara nyingi huwa related na material based. For instance inaweza ikawa the following cases...


  1. Ana mpenzi wake ambae wana hali mbaya kimaisha... ikatokea kuna nafasi ya kazi ambayo yaweza okoa na kuboresha hali mbaya walo nayo (ambayo haina hope ya kutatulika kamwe wala hakuna mwanga kua itatatulika) Then another Man (for men are really good at reading these signs) anatumia hicho kama kigezo cha kumpata huyo mwanamke na kumuahidi kazi mpenziwe (makubaliano ambayo mara nyingi hua ya siri); Na in most cases it works... thou yaweza buma. Na tatizo huja pale huyo mwanaume anapotaka aendelee kupewa hio huduma. Sad but haya mambo yapo.
  2. Ana Mpenzi wake anampenda... ila hali yake ni ya kawaida mno nae ajitahidi kihivo hivo kuendehsa maisha ila mwanamke ana mlolongo wa matatizo.... kama vile Umasikini kwao, wadogo wanaosoma, wazazi wasiojieweza na mengine kibao! Hio yaweza tumika kama weapon kwa mwanaume mwenye pesa kua aweza toa hizo huduma kama ataku mpenzi wake. Wakuta ki Mantik she has to agree ili walau aweze okoa jahazi....

Mammamia.... Ni mengi, ila hayo nimetoa kama mfano.
Nimekufahamu (kwa mujibu wa mazingira yangu) na ninakubaliana na hizi sababu, lakini tusubiri wachangiaji maana viwango vya ufahamu (na mazingira) vinatafautiana.
 
  1. Ana mpenzi wake ambae wana hali mbaya kimaisha... ikatokea kuna nafasi ya kazi ambayo yaweza okoa na kuboresha hali mbaya walo nayo (ambayo haina hope ya kutatulika kamwe wala hakuna mwanga kua itatatulika) Then another Man (for men are really good at reading these signs) anatumia hicho kama kigezo cha kumpata huyo mwanamke
  2. Ana Mpenzi wake anampenda... ila hali yake ni ya kawaida mno nae ajitahidi kihivo hivo kuendehsa maisha ila mwanamke ana mlolongo wa matatizo.... kama vile Umasikini kwao, wadogo wanaosoma, wazazi wasiojieweza na mengine kibao! Hio yaweza tumika kama weapon kwa mwanaume mwenye pesa kua aweza toa hizo huduma kama ataku mpenzi wake. Wakuta ki Mantik she has to agree ili walau aweze okoa jahazi....


  1. so sad indeed
 
aisee, this is a very lame excuse ya kujustify kugawa the most intimate thing which is only meant for your spouse
Pengine ninaweza kuwa tafauti na hiyo nyekundu. Kwangu mimi penzi la dhati ni lile linaloambatana na "loyalty" zaidi kuliko "honesty". Inapobidi, kwa kutumia vigezo vya penzi la dhati, ninaweza kusamehe mtu "unfaithful" kuliko "disloyal".
 
kila kitu kizuri lazima kipate mapambano.
Penzi la dhati halina exception litakutana na mapambano.
Na mapambano hayo ni ya kivishawishi zaidi.

Ok Mrs fellow tablet, sasa vishawishi unavipa nafasi gani unapotathmini kosa alilokutenda titanic wako?
 
Vishawishi vipo siku zoote... Iwe kwa yule ambae ana penzi la dhati ama hata yule ambae yupo katika penzi ambalo sio la dhati. Tofauti ni jinsi gani hivo vishawishi vinaathiri....

Penzi la dhati

Hapa mtu anaweza awe na vishawishi na vikamshawishi hasa lakini visiyumbishe lile penzi la dhati hata kwa chembe... Yaani anaweza mtu akatoka hapo na akalala na mtu mwingine akamaliza hamu ila bado pendo na penzi lake lipo kwa yule warohoni kwake. Msiniulize inakuaje (yaliowakuta wanaelewa kama hayajakukuta kama mimi then tujihesabu wenye bahati :eyebrows🙂 Hii ni maarufu saana kwa wanaume... Kwa wanawake wengi wenye penzi la dhati ni vigumu mno kushawishika na temptations za nje else kuna issue anataka kusolve via hivo vishawishi na hicho/hivo vitu ni vya msingi.

Penzi lisilo la dhati

Hapa vishawishi vyaweza yumbisha penzi ambalo lipo na kusababisha sa ingine hio source ya vishawishi iwe ni Penzi la dhani in the long run.

Klorokwin Habari yako broda? Nilikumiss mpaka imenibidi nipost...lol... Pamoja Saana.
Kwanza Mrs Kaizer kabla kwenda kwenye mada napenda kukujulisha kwamba wewe hata ukipotea tena mwaka mzima usihofu kuhusu mwali kabisaaa, yuko salama na mlinzi niko makini sana na nashkuru imani alonipa Mungu, yaani akienda bafuni basi mi nafumba macho yote, kwavile nimelinda vizuri mwali naomba na husninyo mnikabizi nimlinde manake nimegundua bishanga anamnyemelea.

Bek to topik: Yaani Ashadii wewe ndio umenielewa hasa na nimekupata 100% na hii thread ni ya kwangu lakini nataka kujifunza sth so acha nikusanye maujuzi kutoka kwa wengine.

Nilikumiss pia, mpaka nikajishtukizia waifu wa bosi apa kazini namuita Ashadii
 
mazingira huwa haya husishwi kutokana inaweza kumkandamiza mlalamikaji ndo maana watu wanaikimbia..
Lakini jeee wewe unaweza ukatathmini mazingira kabla ya kumhukumu mwenza wako?
 
one night stand akiwa kwenye ulevi havisumbui
nitaona haikuwa intensional
lakini ile anamsotea mtu mwaka
afu aseme kishawishi simwelewi

nampiga na mwiko tu
Ok Mrs fellow tablet, sasa vishawishi unavipa nafasi gani unapotathmini kosa alilokutenda titanic wako?
 
ukianza ku-consider mazingira, una-create room kwa ajili ya watu kutafuta visingizio... at the end of the day, ndiyo unaanza kusikia visingizio vya ajabu kama 'shetani alinipitia' etc
Assume kwamba mwenza wako unamuhisi ana mapenzi ya dhati kwako lakini akatenda kosa ambalo unalihisi haliendani na unavyomuelewa. Je utashawishika kwamba sio tabia yake bali ni vishwawishi tu?

Cartura hapa jaalia kwamba unaemhukumu unamuhisi ana penzi la dhati kwako na sio wale wa kutafuta visingizio.
 
Vishawishi vipo na vitaendelea kuwepo! Nguvu ya penzi hupimwa katika kuvishinda hivyo vishawishi!

Na nguvu hiyo ipo kwa mtu ndio maana huyo mtu hulaumiwa pale anapoanguka ktk vishawishi!
Nakubaliana na wewe sana Kaunga, lakini suala langu ni je hakuna probability hata ya 0.00005% ya kufeli kuvishinda vishawishi na ukawa reasonable kwa mwenza wako?
 
weee, husy huwajui wanamme?
Akisafiri 2weeks umeliwa
usiongelee kaenda kozi miezi 6 hadi mwaka
anaoa kabisa

vinginevyo atarudi ina kutu
si unajua kutu haina dawa ikishatokea??
Sasa hiki ni kisingizio halali kabisa.

mazingira hatuyapi nafasi kwasababu mara nyingi aliyetenda kosa anakuwa alishaacreate mazingira ya hilo kosa kutokea. Lawama zote lazma ziende kwake.
 
"Yes I did, but she/he meant nothing to me" - haya maneno nimeyasikia sana kwenye soup operas na movies za kidhungu, yakitoka kwa wanawake na wanaume kuwaambia wapenzi wao na mara nyingi au zote huaminiana na yakaishia hapo. Huku uswahili "confessions" kama hizo hazifanyiki kwani salama salama kinachofuatia ni talaka kama sio kisago kwanza. Swali langu ni hili, je mpenzi wako akikuambia hivyo, utachukua uamuzi gani? Utasamehe na kuzingatia "penzi lenu la dhati" au utasapa lapa?

Hiyo ya pili nyekundu nimepitwa kidogo. Ni vishawishi gani anavyoweza kuvitumia mwanamke kwa sababu anataka kusolve via hivo vishawishi na hicho/hivo vitu ni vya msingi?
Ubarikiwe sana kwa ufafanuzi, well said
 
Swahiba wewe tena? Umesahau tuliapa kushirikiana kwa dhiki na faraja?

Afu klorokwini muongo sana amesema yuko chit chat nimemfuata wala hayupo, kumbe hajaacha utapeli eeh? Yan sijui wampendea nini swahiba jamani!
Mrs Nitonye umeanza majungu, nimepata kazi ya upolisi nitakusakazia kesi la unga wewe na nitonye wako ukiendelea kuharibu CV
 
Assume kwamba mwenza wako unamuhisi ana mapenzi ya dhati kwako lakini akatenda kosa ambalo unalihisi haliendani na unavyomuelewa. Je utashawishika kwamba sio tabia yake bali ni vishwawishi tu?

utetezi kwamba ameshawishika tu ila ana mapenzi ya dhati hauwezi kukubalika... ni afadhali tu akubali kuchukua responsibility kwa kosa lake na aombe msamaha badala ya kuleta visingizio
 
Back
Top Bottom