Suala la Kizushi

Hahaha deskmate bana! sasa suala la dini ndio litajibu sredi kweli?
We nijibu kwanza, jibu langu linaanzia hapo...
Kama huna dini nambie pia (maana siku hizi tumevamiwa)
 
Umesha fanya kitu gani hapa, just tell me everything!
Cousin, huyu mtu kakufanya nini?
heheeh hamna kitu bana just nimeshangaa tu si ni alama ya mshangao?
Halaf kumbe ni cousins kupitia ashadii sio? hapo nimewapata
 
Umemtaja Ivuga moyo umeshtuka. sijui yuko wapi sasa hivi
Ukimuona mwambie Anti kaja, alete sasa barua ya posa
Hapo in bold: are we still talking about you?:A S 39:

Sasa barua ya posa si inatakiwa ipitie kwa bodigad na hela za mahari au?
 
Basi tuachane na hilo swali tuendelee na mengine
Enhee mpenzi wako ambae una asilimia kubwa kwamba ana mapenzi ya dhati na wewe akiteleza utamhukumu vipi? Utamtema au utamtupia lawama za kuangukia kwenye vishawishi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…