klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
- Thread starter
- #121
I can proudly say I am, lakini still kama boss alivosema there must be a serious sacrificena mara nyingi nani anashinda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I can proudly say I am, lakini still kama boss alivosema there must be a serious sacrificena mara nyingi nani anashinda?
Ukisha enda nje jiandae kwa kila kitu coz umesha geuzia mapenzi mgongo.Hapo red imenitouch.
Hebu vice versa hiyo situation, wewe uwe ndio umetenda hilo kosa na yeye yuko kwenye nafasi ya msamaha. Akigoma kukusamehe utachukuliaje?
Sasa wewe mbona hujasema?I can proudly say I am, lakini still kama boss alivosema there must be a serious sacrifice
You are indeed a fair queen. So kwako wewe kosa ni kosa na haijalishi kama ni la kuteleza au la kukusudia, na hukumu yoyote ni fair (na kosa lolote kwako unalitafsiri zaidi kuwa ni uzembe si ndio?).Ukisha enda nje jiandae kwa kila kitu coz umesha geuzia mapenzi mgongo.
Kama ataamua kunikubali hivo hivo nitashukuru (ila asiwe anakumbushia kila saa sasa)
Na kama ataamua yaishe nitakua nimevuna nilicho panda.
To be honest deskmate, hii thread niliifungua zaidi kujifunza kitu fulani na ndio maana sikupenda kuweka msimamo wangu ili niweze kuwa neutral katika kuelimika na so far nashkuru sana nime gain more kuliko nilichohitaji.Sasa wewe mbona hujasema?
kwenye penzi la dhati bado kuna vishawishi?
Deskmate, mimi sijui! siwezi kusema hiki au kileYou are indeed a fair queen. So kwako wewe kosa ni kosa na haijalishi kama ni la kuteleza au la kukusudia, na hukumu yoyote ni fair (na kosa lolote kwako unalitafsiri zaidi kuwa ni uzembe si ndio?).
Utanifanya nifikirie kuanzisha thread nyengine wewe lol
Dah! ningekuuliza suali personal but nachukia sana kumuuliza mtu suala personal (Ni katiba yangu lol), lakini nimekupata vizuri sana deskmate na ubarikiwe sana aisee, Worth waiting for u.Deskmate, mimi sijui! siwezi kusema hiki au kile
Sometimes unasema huwezi kusamehe na unasamehe
Sometimes unasema kila kosa ni la kizembe ila yakikukuta
unaanza kumtafutia excuses kabla hata hajazileta yeye
So I just take it as it comes...
It all depends with how hurt I am, and how strong I will be living without him
Nikiona nimeumia sana ila nitaumia zaidi nikiendelea kua nae basi namwacha
Nikiona nimeumia sana ila nikimwacha nitaumia zaidi basi namsamehe.
Kosa lenyewe au kuomba kwake msamaha havina impact kiivo
(but I may pretend it has, just out of pride, and to display some sense of logic)...
Haya, usiku mwema! deskmate!Dah! ningekuuliza suali personal but nachukia sana kumuuliza mtu suala personal (Ni katiba yangu lol), lakini nimekupata vizuri sana deskmate na ubarikiwe sana aisee, Worth waiting for u.
Sasa acha nitimuke.
Gud nite deskmate and be safe, Ivuga akijifanya kuquote quote post zako sana nishtue nikuje.
Dah! sjui kwanini uliponiambia ivuga anakuja nimejiskia kuhairisha kutoka, acha niwapatie rushwa mods wampe ban.Haya, usiku mwema! deskmate!
namuona Ivuga huyo anakuja kwa mbali, ngoja nikampokee.
About your personal question, kwa namna nilifunguka leo,
unaweza kupata jibu kwa kuunganisha posts zangu zote, sio? 😛oa
nakumisi cousin
Watu wengine professionalism inawafanya kua watumwa!Dah! sjui kwanini uliponiambia ivuga anakuja nimejiskia kuhairisha kutoka, acha niwapatie rushwa mods wampe ban.
hahaha umefunguka lakini hukuacha mwanya wa guess bana
Nilijua unakuja tu, i was waiting...kwanza saa yako nimeiba mimi
mwali nakusalimia
Will PM you, hautokuwa comfy hapa am sureWatu wengine professionalism inawafanya kua watumwa!
Ubodiguard usikushinde tutakapo anza mambo yetu hapa.loooool
Sasa na mimi nimekua curious... ni swali gani hilo ungependa kuuliza?
Sijasema nitajibu but maybe I could... I have not much to hide after all.
Umemtaja Ivuga moyo umeshtuka. sijui yuko wapi sasa hivi
Ukimuona mwambie Anti kaja, alete sasa barua ya posa
Hapo in bold: are we still talking about you?:A S 39:
nazipunguza hizo nyumba ndogo
zimekuwa nyingi mno lol
Nilijua unakuja tu, i was waiting...
naomba ujibu suali la deskmate wangu hapo juu...
Khaaa! yaani mbele ya bodyguard laivu?asante kwa kunikumbuka muda wote sijui nikupige busu la wapi? kwenye lips kama jana?
Will PM you, hautokuwa comfy hapa am sure
Jibu swali bwana, acha usanii!asante kwa kunikumbuka muda wote sijui nikupige busu la wapi?
Bodigad nakwenda kuweka alarm PM, naona munaget out of control mbele ya bodigadwewe? inabidi nitafute utaratibu kwanza uwe na busha ndio tutaona kama uta m pm huyu binti