Suala la Kizushi

Enhee mpenzi wako ambae una asilimia kubwa kwamba ana mapenzi ya dhati na wewe akiteleza utamhukumu vipi? Utamtema au utamtupia lawama za kuangukia kwenye vishawishi tu?
Nambie kwanza wewe ni dini gani. mbona unakwepa hilo swali?
 
Nambie kwanza wewe ni dini gani. mbona unakwepa hilo swali?
Labda nikuulize deskmate, jibu lako ulitaka kuliegemeza kwenye dini? au? cuz I love everything about JF lakini linapokuja suala la udini huu ukumbi unachafuka ndani ya sekunde, so just be general litanitosha kabisa jibu lako.
 
Basi ni bora nisijibu kabisa.
 
nazipunguza hizo nyumba ndogo
zimekuwa nyingi mno lol
Halaf nimegundua bana, zinasababisha memory loss. Kuna mshkaji wangu flani hapa daily ananiulizia njia yake ya kwendea kazini. Ana nyumba ndogo kama tatu ivi
 
mmmmh yaani all this waiting for my sweetest deskmate nione mchango wake kumbe nimeambulia patupu. Khaaa!
Kwa kifupi tu... very briefly and very generally:
God's love for us is pure kuliko hata penzi la dhati, sio?
When we deceive God, and we disappoint him, what does He do?
Anaangalia yule mwenye kukiri makosa yake kwa kumaanisha, na anamsamehe, sio?
So the same should applie. Kama ni penzi la dhati liwe both ways
Sio wewe utake mwenzio akupende kwa dhati na awe perfect
ila usahau kua na wewe, as mpenzi wa dhati, unatakiwa kumsamehe
the only condition is for him to be sorry for what happened
Hili ni kwa wale wenye penzi la dhati (Mimi sipendi kwa dhati lakini)
 
Wooow! unaona sasa ulitaka kuninyima elimu bure bwana deskmate, ila hapo kwenye bracket mwisho mbona umenishtua?
Thanx, mchango wako umeniongezea knowledge.
 
Wooow! unaona sasa ulitaka kuninyima elimu bure bwana deskmate, ila hapo kwenye bracket mwisho mbona umenishtua?
Thanx, mchango wako umeniongezea knowledge.
Mimi nikipenda I don't expect you to be perfect,
And I am not perfect neither. so wewe ukinionesha imperfection
kwa kwenda nje na kushindwa na vishawishi
na mimi nitaonesha imperfection ya kushindwa kusamehe
Ngoma draw!
 
So hata ukiwa na mpenzi unae mpenda kwa dhati akae akijua tu kua you can't resist that?
Siwezi kumjibia the boss lakini for me , sometimes I like and fancy to fight against my own self desires
 
So hata ukiwa na mpenzi unae mpenda kwa dhati akae akijua tu kua you can't resist that?

ajue tu nikiona wowowo na nikijizuia basi
nampenda kweli...na nime sacrifice a lot hapo lol
 
ajue tu nikiona wowowo na nikijizuia basi
nampenda kweli...na nime sacrifice a lot hapo lol
kwa hiyo she should show some appreciation?
Na siku ukishindwa kujiziwia akubali tu kua umezidiwa?
 
Mimi nikipenda I don't expect you to be perfect,
And I am not perfect neither. so wewe ukinionesha imperfection
kwa kwenda nje na kushindwa na vishawishi
na mimi nitaonesha imperfection ya kushindwa kusamehe

Ngoma draw!
Hapo red imenitouch.
Hebu vice versa hiyo situation, wewe uwe ndio umetenda hilo kosa na yeye yuko kwenye nafasi ya msamaha. Akigoma kukusamehe utachukuliaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…