Suala la Kizushi

Hapo red imenitouch.
Hebu vice versa hiyo situation, wewe uwe ndio umetenda hilo kosa na yeye yuko kwenye nafasi ya msamaha. Akigoma kukusamehe utachukuliaje?
Ukisha enda nje jiandae kwa kila kitu coz umesha geuzia mapenzi mgongo.
Kama ataamua kunikubali hivo hivo nitashukuru (ila asiwe anakumbushia kila saa sasa)
Na kama ataamua yaishe nitakua nimevuna nilicho panda.
 
You are indeed a fair queen. So kwako wewe kosa ni kosa na haijalishi kama ni la kuteleza au la kukusudia, na hukumu yoyote ni fair (na kosa lolote kwako unalitafsiri zaidi kuwa ni uzembe si ndio?).

Utanifanya nifikirie kuanzisha thread nyengine wewe lol
 
Sasa wewe mbona hujasema?
kwenye penzi la dhati bado kuna vishawishi?
To be honest deskmate, hii thread niliifungua zaidi kujifunza kitu fulani na ndio maana sikupenda kuweka msimamo wangu ili niweze kuwa neutral katika kuelimika na so far nashkuru sana nime gain more kuliko nilichohitaji.
Na kama una hazina zaidi ya hili suala please ifichue coz I need it now. In the name of deskmates lol
 
Deskmate, mimi sijui! siwezi kusema hiki au kile
Sometimes unasema huwezi kusamehe na unasamehe
Sometimes unasema kila kosa ni la kizembe ila yakikukuta
unaanza kumtafutia excuses kabla hata hajazileta yeye
So I just take it as it comes...
It all depends with how hurt I am, and how strong I will be living without him
Nikiona nimeumia sana ila nitaumia zaidi nikiendelea kua nae basi namwacha
Nikiona nimeumia sana ila nikimwacha nitaumia zaidi basi namsamehe.
Kosa lenyewe au kuomba kwake msamaha havina impact kiivo
(but I may pretend it has, just out of pride, and to display some sense of logic)...
 
Dah! ningekuuliza suali personal but nachukia sana kumuuliza mtu suala personal (Ni katiba yangu lol), lakini nimekupata vizuri sana deskmate na ubarikiwe sana aisee, Worth waiting for u.
Sasa acha nitimuke.
Gud nite deskmate and be safe, Ivuga akijifanya kuquote quote post zako sana nishtue nikuje.
 
Haya, usiku mwema! deskmate!
namuona Ivuga huyo anakuja kwa mbali, ngoja nikampokee.
About your personal question, kwa namna nilifunguka leo,
unaweza kupata jibu kwa kuunganisha posts zangu zote, sio? 😛oa
 
Dah! sjui kwanini uliponiambia ivuga anakuja nimejiskia kuhairisha kutoka, acha niwapatie rushwa mods wampe ban.

hahaha umefunguka lakini hukuacha mwanya wa guess bana
 
Dah! sjui kwanini uliponiambia ivuga anakuja nimejiskia kuhairisha kutoka, acha niwapatie rushwa mods wampe ban.
hahaha umefunguka lakini hukuacha mwanya wa guess bana
Watu wengine professionalism inawafanya kua watumwa!
Ubodiguard usikushinde tutakapo anza mambo yetu hapa.loooool
Sasa na mimi nimekua curious... ni swali gani hilo ungependa kuuliza?
Sijasema nitajibu but maybe I could... I have not much to hide after all.
 
Will PM you, hautokuwa comfy hapa am sure
 
Umemtaja Ivuga moyo umeshtuka. sijui yuko wapi sasa hivi
Ukimuona mwambie Anti kaja, alete sasa barua ya posa
Hapo in bold: are we still talking about you?:A S 39:

asante kwa kunikumbuka muda wote sijui nikupige busu la wapi? kwenye lips kama jana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…