Suala la kuajiri kwa kutaka mtu awe kapitia JKT liangaliwe upya, JKT huwa hawachukui wote wanaomaliza kidato cha sita mafunzoni

Huwa wana-report kila mwaka boss, hata kama hawajapangiwa.
Asante mada yangu naona itafungua macho wengi form six kuwa wakaripoti kambi ya karibu hata Kama JKT hawajawaita

Nashukuru jibu lako limefungua Pandora box iliyokuwa imejaa usiri
 
Bongo ni miongoni mwa nchi zenye wananchi wa ajabu sana mkuu.
 
uhamiaji nazo je
 
Mjiandae safari hi mkitoa List jiandaeni maelfu ambao hamkuwa list kujiunga na JKT kujaa kambi za JKT.Asante kutuonyesha kuwa Kuna mlango wa siri mlificha kuwa mtu hata Kama hayuko kwenye List ruksa kuripoti kambi yoyote
Pia unaweza kupangwa mafinga ukaenda ruvu na ukapiga miezi yako mitatu ukasepa zako uwe na sifa tu za kwenda huko kama ni mujibu wa sheria.
 
Suala hilo linahitaji kufikiriwa upya, sisi kipindi tunamaliza kidato cha 6 mwaka 2011 hayo mambo yalisitishwa kabisa ila yakarudishwa tena,
Inashangaza kama bado hicho wanaona ni kigezo
 
Huwa wana-report kila mwaka boss, hata kama hawajapangiwa.
TISS na Takukuru chukueni majina yote ya waliojiunga nje ya kuitwa JKT walioingia kinyemela mlango wa nyuma walioomba kazi serikalini I smell a rotten rat somewhere Kuna watu waweza kutaka kupenyezwa ndani ya system ya nchi kupitia dirishani badala ya mlangoni .TISS scrutize kila aliyepitia dirishani badala ya mlango official wa kuitwa ku report kambi za JKT .
 
In fact ni ubaguzi. Kuna wengine kwa sababu za hali zao kiafya na kimaumbile (wenye ulemavu kwa mfano) hawawezi kwenda JKT, ina maana hawatapata ajira hizo husika?
Acha uongo wewe,mlemavu gani umesikia hakwenda Jkt.

Nenda Ruvu hapo utawaona walemavu wengi wapo.
 
Kazi zipo za aina nyingi, sio lazima wote waajiriwe na vyombo vya Ulinzi na Usalama. Huo ni ukweli mchungu. Kama kweli mtu hivyo vyombo vilikua damuni nafasi za kwenda kujitolea JKT kwa mkataba wa miaka miwili huwa zinatoka kila mwaka, na vijana kuanzia la 7 mpaka wenye elimu za juu huwa wanachukuliwa na michakato inafanyikaga wilaya zote. So hiyo ya kusema form 6 wengine hawachaguliwagi kwenda mujibu wa sheria sio excuse hata kidogo, wangeenda hata kwa kujitolea kama kweli wanalipenda Jeshi kiasi hicho. Kulikua na vijana wa Operesheni Mererani na Magufuli, hao walijitolea miaka kibao JKT kwa posho ya kujikimu tu 50k/month, na mwisho wa siku mikataba ikaisha wakarudishwa majumbani na vyeti tu, vijana wakafungua moyo na hatujasikia vurugu zozote mitaani. Huo ni zaidi ya uzalendo. Ila hata humu jukwaani wapo waliokua wanawadhihaki hao vijana kwa kwenda huko JKT na mwisho kurudi bila ajira. Leo hii ajira za vyombo vya Ulinzi na Usalama zimetoka na zitaendelea kutoka, kwanini mnataka vijana wazalendo kama hao waliojitolea kwa moyo kabisa kujenga taifa lao kupitia JKT wasipewe kipaumbele? Wanastahili
 
Shukuru mama anatoa maelfu ya ajira,ulikuwa unakesha kumsifia bwanako na upuuzi wake humu..

Apewe anachostahili huko huyu mumeo hapa πŸ‘‡



 
S

Soma thread yote utajua Kuna shida mahali
Tulia huna credibility ya kuongea,wewe na marehemu mumeo mlitoa ajira zipi miaka yote 6? Hadi sasa mama kaajiri Zaidi ya watu 30,000..

Na sasa tunaenda kwa mwendo was kukuza private sector ambayo mliiua πŸ‘‡







 
Ulichoongea tuwaaachie TISS na Takukuru kwa Nini mfano mtu hajaripoti kwa Nini wasichukuliwe wengine walioachwa kuchukkuliwa sababu kujiunga JKT kwa form six huandiki barua ya kujiunga .Kwa Nini JKT haikuwa na second baada ya waliopewa kugoma ? selection ohh wakachukua kinyemela gizani .Hii issue TISS Ndio jukumu lao kujua why? Sio kesi ya JKT tena
 
Hizo Nafasi zinataka watu wenye mafunzo ya jeshi..Sasa wewe hata jeshi hujapita uzalendo huujui utakuwaje mpelelezi wa takukuru?
 
Jkt huwa Ina second selection sheikhe....hata ukikosa kuchaguliwa ukijipeleka hawakukatai ilimradi Uwe umemaliza fom6 Tu mwaka huo
 
Jkt huwa Ina second selection sheikhe....hata ukikosa kuchaguliwa ukijipeleka hawakukatai ilimradi Uwe umemaliza fom6 Tu mwaka huo
Hapo kujipeleka Ndio Kuna maneno

Form six umeacha kuwachukua kibao halafu watu hawajaripoti kwa Nini usiite wengine uingize watu wapya gizani? Kuna maneno TISS wote walioomba kazi serikalini ambao walioingia JKT kupitia gizani bila official wito wa JKT wapigeni chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…