Siku ya Alhamisi Waziri wa tamisemi alitoa kauli ya kuisitisha uhamisho wa watumishi walioko chini ya Wizara yake (TAMISEMI) Ila akasisitiza labda mtu akitaka toka mjini kwenda Kijiji ndiye anayerusiwa kupata kibali Cha kuhama.
Swali langu je kuhama si ni haki ya kila mtumishi? Siyo kila mtu anapenda kuhamia mjini bila sababu za msingi.
Mbona yeye na familia yake wanaishi mjini?
Swali langu je kuhama si ni haki ya kila mtumishi? Siyo kila mtu anapenda kuhamia mjini bila sababu za msingi.
Mbona yeye na familia yake wanaishi mjini?