SHOGA WEWEWewe endelea na ulichokizoea kwa miaka 23..hiyo kofia siku ukiitoa utapata tabu sana. siku hizi nasikia kuna baridi sana..rubbish!!
Asante sana kwa ushauri cha mdekoKwa mkubwa ni sh elf 20 na kwa sababu imeshakomaaa itachukua hata mwezi mmoja mpaka miwili fanya hilo suala ukiwa likizo
Haya machache ndo najua ngoja waje wanaofahamu vizur watakusaidia
sijakuelewaMkuu ushawahi kuona kibamia kilivyo...?
ukiwa ujakatwa lawa kubwa but kikishapunguzwa unasema hakitorudi vumilia lakini
Then Wenye magovi wanakuwaga wachafu ukivuta ile ngozi iliyozidi kuna natural dust particles za njano sijui inakuwaga nn
NielewesheMkuu ushawahi kuona kibamia kilivyo...?
Haleweki mara kibamia mara uchafuNieleweshe
Wewe Mhaya au Mjaluo?Habari wana JF
mimi ni kijana wa miaka 23 nipo chuo na bado sijatahiriwa.
sasa nataka kwa hali na mali kutahiriwa naombeni nijulisheni napona baada ya Muda Gani na inagharimu shilingi ngapi za kitanzania.
Na Je nikitahiriwa nikiwa nipo chuo haitaathiri shughuli zangu za hapa na pale za kimasomo?
Niulize Tena
Na je nisipofanya Mazima kutakuwa na Madhara au Matatizo huko Mbeleni?
Asanteni.
Au muheheWewe Mhaya au Mjaluo?
Hii ni uthibitisho kuwa hata baba yako naye ni kama wewe, watu Na masweta yao.
Wewe Zumbukuku hivi ni lazima utukane kila ukichangia?Wewe endelea na ulichokizoea kwa miaka 23..hiyo kofia siku ukiitoa utapata tabu sana. siku hizi nasikia kuna baridi sana..rubbish!!
Kumbe nao wamo!!!Au muhehe
Mbona huduma wanatoa bure ck izi we jipeleke tu hospital mwambie dokta nina sweta nataka univue