Suala la Kutahiriwa

Suala la Kutahiriwa

Ctech

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
754
Reaction score
818
Habari wana JF
Kuna kijana wa miaka 23 yupo chuo na bado hajatahiriwa.

sasa anataka kwa hali na mali atahiriwe naombeni nijulisheni anapona baada ya Muda Gani na inagharimu shilingi ngapi za kitanzania.

Na Je akitahiriwa akiwa chuo haitaathiri shughuli zake za hapa na pale za kimasomo?

Niulize Tena
Na je asipofanya Mazima kutakuwa na Madhara au Matatizo huko Mbeleni?

Asanteni.
 
Kwa mkubwa ni sh elf 20 na kwa sababu imeshakomaaa itachukua hata mwezi mmoja mpaka miwili fanya hilo suala ukiwa likizo

Haya machache ndo najua ngoja waje wanaofahamu vizur watakusaidia
 
Kwa mkubwa ni sh elf 20 na kwa sababu imeshakomaaa itachukua hata mwezi mmoja mpaka miwili fanya hilo suala ukiwa likizo

Haya machache ndo najua ngoja waje wanaofahamu vizur watakusaidia
Asante sana kwa ushauri cha mdeko
 
Mbona huduma wanatoa bure ck izi we jipeleke tu hospital mwambie dokta nina sweta nataka univue
 
Mkuu ushawahi kuona kibamia kilivyo...?

ukiwa ujakatwa lawa kubwa but kikishapunguzwa unasema hakitorudi vumilia lakini


Then Wenye magovi wanakuwaga wachafu ukivuta ile ngozi iliyozidi kuna natural dust particles za njano sijui inakuwaga nn
 
Mkuu ushawahi kuona kibamia kilivyo...?

ukiwa ujakatwa lawa kubwa but kikishapunguzwa unasema hakitorudi vumilia lakini


Then Wenye magovi wanakuwaga wachafu ukivuta ile ngozi iliyozidi kuna natural dust particles za njano sijui inakuwaga nn
sijakuelewa
 
Subiri likizo wakakate Hilo govi hv primary ulikua uchekwi sisi Enzi hizo tunawacheka wenzetu kweli mpaka wanatahiriwa
 
Habari wana JF
mimi ni kijana wa miaka 23 nipo chuo na bado sijatahiriwa.

sasa nataka kwa hali na mali kutahiriwa naombeni nijulisheni napona baada ya Muda Gani na inagharimu shilingi ngapi za kitanzania.

Na Je nikitahiriwa nikiwa nipo chuo haitaathiri shughuli zangu za hapa na pale za kimasomo?

Niulize Tena
Na je nisipofanya Mazima kutakuwa na Madhara au Matatizo huko Mbeleni?

Asanteni.
Wewe Mhaya au Mjaluo?
Hii ni uthibitisho kuwa hata baba yako naye ni kama wewe, watu Na masweta yao.
 
Wewe endelea na ulichokizoea kwa miaka 23..hiyo kofia siku ukiitoa utapata tabu sana. siku hizi nasikia kuna baridi sana..rubbish!!
Wewe Zumbukuku hivi ni lazima utukane kila ukichangia?
 
Kawaida tu mkuu acha hivyohivyo tuu,mbona mademu hawatahiriwi!.huu uzi umeandika usiku ili tusikuone eeeeh.
 
Unauliza utapona baada ya siku gani??
Wewe kaa nalo tu hilo GOVI huna nia ya kutairiwa ili ukamilike dume kamili
 
Mkuu fanya urekebishe hiyo kitu aisee ina madhara yake kukaa nayo. Ila najiuliza shida utakayopata hisia zikikujia na una jeraha la hiyo kitu, aisee usiombe...
 
Subir likizo ndio ufanye hivo...
Kuhusu kupona sijui...
Stay away from girls for a while mana ukidnda wakati ushatolewa mzula ni hatari coz utasogeza mbele muda wa kupona
 
Hospital za serikali unaweza fanyiwa bure lakini pia unaweza enda hospital nyingine ni kuanzia e20 mpaka laki hapo makubaliano yenu tu doctor anakuja kukufata ulipo....kwenye kupona zingatia hali ya hewa msimu wa mvua utapona mapema kuliko wa joto na inabid iwe likizo maana haushauriwi kukaa na nguo siku za mwanzo
Pia unatakiwa ule vizuri ili upone haraka
 
Back
Top Bottom