Suala la Kutahiriwa

Suala la Kutahiriwa

Habari wana JF
Kuna kijana wa miaka 23 yupo chuo na bado hajatahiriwa.

sasa anataka kwa hali na mali atahiriwe naombeni nijulisheni anapona baada ya Muda Gani na inagharimu shilingi ngapi za kitanzania.

Na Je akitahiriwa akiwa chuo haitaathiri shughuli zake za hapa na pale za kimasomo?

Niulize Tena
Na je asipofanya Mazima kutakuwa na Madhara au Matatizo huko Mbeleni?

Asanteni.
Rahisi kupata maambukizi ya virusi vya ukimwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom